kimei n mbunge wangu wa vunjo tunakaa nae kijiji kimoja cha kokirie kata ya mamba kaskazini.ajabu kijiji chetu kina zahanati.ila hyo zahanati aina dokta zaidi ya manesi hata mjamzito hawajifunguli hapo
mbaya zaidi hamna dawa za kutosha wala vipimo ukienda hyo zahanati ukiwa na shida watakupa dawa bila kipimo.hajawahi kuitisha mkutano kuna siku tulimsimamisha akiwa anatoka getini kwake tukamwelezea shida zetu alitwambia hawezi tusaidia ss walevi. akatupa buku mbilimbili tulikuwa kama arobaini hv kwa hasira na majibu yake tulienda kujipozea na banana tatu tatu mixa na fegi wakina mama na wazee wakajipoza na mbege ila kwa kifupi tangu utawala wa mbatia mpaka kmei hakuna walichofanya cha maendeleo. ndo mana tunamkumbuka mrema alifanya vitu vya maana sana. tunasubiri 2025 tumtoe kimei kwasababu jimbo la vunjo hakuna mbunge aliekaa mihula miwili.miaka mitano tunatoa tunaweka mwingine tangu vyama vingi vingie nchini ila mrema tulifanya kosa kumtoa sababu amefanya mambo mengi sana ungekuta tuko mbali sana kiuchumi na kimaendeleo.kipindi cha 2015 tulidanganyika na ukawa tukitegemea watatuletea maendeleo zaidi kupitia mbatia kumbe n ziro daima tutamkumbuka mrema
Ila ni Walevi kweli mkuu
 
Mtama
Bumbuli
Chalinze
Iramba Magharibi
Huko ni sawa na hakuna wabunge kabisa
2025 chadema wana kazi nyepesi sana huko
 
Tunahitaji kuwekana wazi tujue na hao viongozi wajue kumbe jamii inawatizama utendaji wao wa kazi.

Mimi naanza na Jimbo la Kawe, wazee tuliyakanyaga. Gwajima hana jipya, tunaomba 2025 ifike mapema, sihitaji kuelezea mengi wapiga kura wa Kawe majibu wanayo.

Tuambie, vipi kuhusu Mbunge wako ili baadae tuje na orodha yao.
Hamkujua kuwa huyo Gwajima ni tapeli wa kutupa na mchumia tumbo na kahaba wa kiroho na kisiasa?
 
Nyamagana Mwanza, huyo Mabula ni boya kabisa tunatamani Wenje arudi 2025 tumpe Jimbo, na kama siyo Wenje basi aje John Heche tumkabidhi Jimbo ila siyo John Pambalu maana bwana mdogo ana siasa za kishamba.
 
Tunahitaji kuwekana wazi tujue na hao viongozi wajue kumbe jamii inawatizama utendaji wao wa kazi.

Mimi naanza na Jimbo la Kawe, wazee tuliyakanyaga. Gwajima hana jipya, tunaomba 2025 ifike mapema, sihitaji kuelezea mengi wapiga kura wa Kawe majibu wanayo.

Tuambie, vipi kuhusu Mbunge wako ili baadae tuje na orodha yao.
Jimbo la kawe tuna shida sana ya barabara za mitaa. Kukinyesha tu tunapata tabu sana na barabara zetu za mitaa. Mbunge aliyopo au ajaye akiliweza hili atakuwa kaula.
 
hilo libunge la kawe gwajima. mimi sitaki hata kulisikia. halina impact yoyooote, bora lirudi kanisani kwake kuendeleza na uongo wake wa ufufuo na uzima. nitashangaa sana kama 25 ataukwaa tena ubunge
 
Mimi Mbunge wangu tangu aingie mjengoni sijawahi kumsikia hata kwa bahati mbaya akishusha hoja za kututetea sisi wapiga kura wake na Watanzania kwa ujumla.
Utakuta wenzie wanawatetea Wananchi wao kwa nguvu zote lakini yeye yupo kimya tu.
Hata sisi tunatamani 2025 ifike haraka.
Jimbo gani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom