Tunahitaji kuwekana wazi tujue na hao viongozi wajue kumbe Jamii inawatizama utendaji wao wa kazi.

Mimi naanza na Jimbo la Kawe, wazee tuliyakanyaga. Mhe. Gwajima hana jipya, tunaomba 2025 ifike mapema, sihitaji kuelezea mengi wapiga kura wa Kawe majibu wanayo.

Tuambie, vipi kuhusu Mbunge wako ili badae tuje na orodha yao.
Hamkwenda ughaibuni mlikoahidiwa.
 
Mimi Mbunge wangu tangu aingie mjengoni sijawahi kumsikia hata kwa bahati mbaya akishusha hoja za kututetea sisi wapiga kura wake na Watanzania kwa ujumla.
Utakuta wenzie wanawatetea Wananchi wao kwa nguvu zote lakini yeye yupo kimya tu.
Hata sisi tunatamani 2025 ifike haraka.
Labda hamjamweleza mnataka awasemee nini
 
Tunahitaji kuwekana wazi tujue na hao viongozi wajue kumbe Jamii inawatizama utendaji wao wa kazi.

Mimi naanza na Jimbo la Kawe, wazee tuliyakanyaga. Mhe. Gwajima hana jipya, tunaomba 2025 ifike mapema, sihitaji kuelezea mengi wapiga kura wa Kawe majibu wanayo.

Tuambie, vipi kuhusu Mbunge wako ili badae tuje na orodha yao.
Babu tale,mwana fa...
 
Mimi Mbunge wangu tangu aingie mjengoni sijawahi kumsikia hata kwa bahati mbaya akishusha hoja za kututetea sisi wapiga kura wake na Watanzania kwa ujumla.
Utakuta wenzie wanawatetea Wananchi wao kwa nguvu zote lakini yeye yupo kimya tu.
Hata sisi tunatamani 2025 ifike haraka.
CCM MBELE KWA MBELE.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom