Wabunge wa kuondolewa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa kuondolewa CHADEMA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kachanchabuseta, Oct 26, 2011.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hawa wabunge hawana mchango wowote kwa chama
  sijui walifikaje hapo walipo

  Na wewe endeleza LIST........


  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,881
  Trophy Points: 280
  Jaribu kufatilia bunge kwa makini.
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,881
  Trophy Points: 280
  kupeng'e

  [​IMG] Member [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]


  Join Date : 26th October 2011
  Posts : 15
  Rep Power : 0
   
 4. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kupeng'e kawaambie waliokutuma kazi hiyo kuwa huiwezi na wakutafutie kazi nyingine.
   
 5. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Na wabunge wa kuondolewa CCM ni wepi?
   
 6. l

  luckman JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  huyu mwehu kweli!sugu we unamuonaje?hivi unafikiria utendaji wa mtu lazima utangazwe radioni au magazetini?uliza mbeya kianchoendelea sio unapigapiga kelekele zako!
   
 7. Mbavu mbili

  Mbavu mbili JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 804
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 60
  mbeya na sugu...
  sugu na wana mbeya...
  haiitaji Mass media...
  haitaji press auzishwe sura kama hao wengine....
  peopleeeeezzz
   
 8. J

  Jildiz Member

  #8
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanini usiulize profesa Maji Marefu alifikaje bungeni na kwanini asiondolewe
   
 9. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Watu wengine kwa kukurupuka tu, hata simwelewi huyu.

  Shibuda sio mwana CDM, hilo tunajua lakini kwa Sugu, hapo umechemka.
  Na kama umetumwa, kawaambie CDM ni ngoma nzito.
   
 10. K

  Kalila JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahaha magamba bwana nenda mbeya ndo utajua sugu ni nani au waulize clouds watakwambia jiji la mby zinajengwa barabara za lami na mataa yanafungwa sugu for mbeya
   
 11. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  anawatafutia watu ban tu na si jingine
   
Loading...