Wabunge wa CHADEMA mnakera sana

Mnashutumu Jk na udini kwa kutamka uchaguzi umeendesha na harakati za udini kisha na nyinyi mnautangaza wazi bungeni.
 
Hivi nyie waathirika wa KAWAMBWA mnafanya nini humu jamvini? QT mmeacha au, nursing, nursery teacher hata welding hamtaki kwenda, jaribu walau certificate ya hotel management, akili nyembamba utafanya nini cdm, "mimi ningekuwa MBWA MKUU (SPIKA) nisingeruhusu cdm kuchangia! huwezi kuwa hata mfuga mbwa! kuna wadogo wenzako wa shule za kata nitawaunganisha na wewe mjibishane! wafuba nyakwata, kalye empali, baza.
 
The true jk watamjua kwa matusi mnayotumia? Vipi mbona tuhuma mnazomsema nazo mkisemwa nyinyi mnaomba mwongozo? Mkuki mtamu kwa nguruwe si ndio?

Ndio alichotakiwa kufanya Ndugai..kwa sababu Lukuvi aliomba mwongozo kwa the same hoja ya Lema....na Nchemba nae akafanya vivyo hivyo haikuwa shida hata yeye alijua wataomba mwongozo na alikuwa ameshajipanga cha kusema...tatizo Ndugai akatumia ubabe badala ya Kanuni....
 
Mnashutumu Jk na udini kwa kutamka uchaguzi umeendesha na harakati za udini kisha na nyinyi mnautangaza wazi bungeni.

Hapa naungana na wewe japo kwa hoja zingine tulikuwa tunatofautiana....CHADEMA kwenye hili suala la Udini kama hawana mtu makini kama Mnyika au Zitto wa kuli-present bungeni..basi nashauri waachane nalo otherwise watajikuta wanaonekana wadini wakubwa than hao wanaowanyooshea vidole....haya sio mambo ya kushadidia....na kwa manufaa ya Taifa wangeomba kulijadili kwenye kamati zao huko na sio kujiachia on public kama wafanyavyo!
 

Hayo yote uliyotaja yakiwa ya kweli au la hayaondolewi kwa kuitukana serikali, hebu chukua mfano wa hoja na mambo ya msingi anayoongea Zitto na wabunge wengine wanajitambua wa cdm, mbona serikali inapata tabu na hoja za wabunge hawa? Je matusi yanawezwajadiliwa Au kichalengi serikali?
 

Hongera sana. Umefanikiwa kuingia kwenye ignore list yangu...
 

Yes kutangaza mambo ya udini ni kuukuza udini na sio kutafuta suruhisho na hii mojawapo ya kuwajengea mawazo ya chuki wananchi juu ya watu/mtu au taasisi flani.
 
hivi kweli haya ni mawazo,

MWONGOZOOOOOOOOOOOOOOOO
Ndugu Sipka naomba Mwongozo

Ndugu Spika naomba kanuni
Ndugu Spika mnatuibia dakika zetu
Ndugu Spika hatujamtukana Rais

Khaaaaaaaaaaaaa mnakera basi tu
 
Benaire wasemaji wanaoongea issues sensitive bungeni wanakuwa wamejipanga na wenzao wanajua watasema nini! Kila mtu ana uwezo binafsi wa kuzungumzia masuala Fulani, January, Mnyika, Sugu, Zitto nk nao wanapewa nafasi hizo kulingana na ajenda zinazokuwepo mezani kwa wakati huo!! Suala la udini kama unafuatilia vizuri historia ya nchi hii vizuri lilichagizwa na CCM wenyewe kwa kuiweka kwenye ILANI yao ya 2010 kwamba wangewawezesha waislamu kuwa na mahakama ya kadhi kama wataichagua, na Makamba then party secretary General aliwaambia waislamu wasimchague Dr Slaa kwa kuwa ni Padri na ametumwa na Kanisa... Afu jiulize katika matukio ya UDINI ni misikiti mingapi imechomwa, ni masheikh wangapi wamepigwa risasi au ni masheikh wangapi wameuwawa? Suala la kuchinja, Wasirra (Waziri) alipoenda Mwanza (Geita) alitoa conclusion kwamba waislamu ndio waachiwe wachinje, Je, that conclusion ina draw nguvu toka kwenye Katiba ipi? Je, Katiba au sharia inatoa such a conclusion? Je, katika vurugu zote za kuchinja na kuchoma makanisa (Now 25 churches) kuna Kesi mhakamani dhidi ya wachomaji wa misikiti hiyo? Ukipata majibu ya hoja hizi utajua MDINI ni nani!!
 

usikute we ni mojawapo ya waathirika wa kawamba unajipa moyn tu hapa, kama sivyo akili yako imelaliwa na ujinga au vita ya fikra.
 
ndio madhara ya kuzoe fikra za chama kimoja....unakuta mbunge unaunga mkono bajeti asilimia mia harafu ndani yake anaiponda bajeti yote,hivi huko ndio kuunga mkono...ccm iko siku mtamsifia rais hata akienda chooni ku..y..a....mleta mada umevulugwa....
 
MWONGOZOOOOOOOOOOOOOOOO
Ndugu Sipka naomba Mwongozo

Ndugu Spika naomba kanuni
Ndugu Spika mnatuibia dakika zetu
Ndugu Spika hatujamtukana Rais

Khaaaaaaaaaaaaa mnakera basi tu

Inakera sana broo.
 
Waliosema "Mbwa", "Faka you" na "mchungaji wa Nguruwe" wote ni CHADEMA. kweli kuna haja ya kuwapima akili ikiwa ni pamoja na wewe mleta mada..
Yuko under medical care,.ccm wanakodisha mateja na kuwafundisha jinsi ya ku-browse jf
 
Hadhi ya bunge ni wabunge wenye kujua taratibu za bunge,spika akiyumba anapewa ukweli wake atake asitake.Wabunge wa CDM ni smart sana hakubali kuburuzwa.
 
Hadhi ya bunge ni wabunge wenye kujua taratibu za bunge,spika akiyumba anapewa ukweli wake atake asitake.Wabunge wa CDM ni smart sana hakubali kuburuzwa.

Kwa staili ya sitoki sitoki?.
 
...usingewataja hao,ningefikiria cha kuchangia lakini hao uliowataja nikilingansha na hoja yako,napata picha wewe ni mtu wa aina gani, sipotezi muda zaidi.....
 

mh mbowe ndo anajua nini maana ya siasa za vyama vingi,nawaona makanjanja wa ccm wakijambajamba,wakihaha wapi pa kupitia na hawaoni. Kama ulizaliwa analogia(chama kimoja) lazima kucopy digitali kugumu kwani unaishi kwa mazoea siyo nyakati. Viva cdm
 
Wewe hujui democrasia ni kitu gani...
Na hujui nchi iko na uelekeo gani...utakereka saaana.
Pole.

CHADEMA keep it up.
 
Wewe hujui democrasia ni kitu gani...
Na hujui nchi iko na uelekeo gani...utakereka saaana.
Pole.

CHADEMA keep it up.

kama umeshindwa kuelewa ubaya wa kinachoendelea Bungeni basi nenda ukapitie bandiko la mwanakijiji huenda ukaelewa kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…