Kiukweli chadema kimeleta uchangamfu wa uwajibikaji wa serikali yetu na muhimu kuwa na chama hiki kwani kuna viongozi wanaojitambua ndani ya chadema tatizo ni hawa wanaolazimisha kila wanaciotaka. Bunge wanalifanya sehemu ya kujitangaza kisiasa.
Hoja unayo mkuu. PKatika wabunge wa CHADEMA, pale mbunge ni Zitto tu. Anazungumza mambo ya msingi na hapapariki au kushabikia mambo ya kipuuzi. Thats y hata wabunge wa CCM wanampigia kura kuongoza kamati nyeti ya HESABU za serikali.
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?.

Hili ndio wasiotaka kulisikia baadhi ya wafuasi wa Chadema, wanadhani kupendwa kwa zito anatumiwa na Ccm but for real jamaa yupo smart katika siasa zake na sio mfuasi wa kila lisemwalo na wenzake.
Hakuna mwizi au fisadi yeyote anayewapenda wabunge hawa, wana wa nchi wanaoguswa na umaskini wa watanzania uliosababishwa na Chama cha Majambazi!
Kuna kila dalili sasa kuwa CHADEMA kinaipeleka nchi hii kule walipodhamiria kuwa NCHI HII HAITATAWALIKA. Waliyasema haya. Mara baada ya maneno haya, palizuka mlolongo wa matukio ya ajabu sana kama vile:
1. Kutekwa kwa Dr. Ulimboka,
2. Kuuwawa kwa Mwandishi Mwangosi,
3. Kuuwawa Padre kule Zanzibar,
4. Kuuwawa kwa mpiga rangi viatu Morogoro,
5. Kuteswa kwa Kibanda,
6. Mpango wa kumteka Msaky, na
7. Sasa fujo za Bungeni.
Wanafanya hivi halafu, CHADEMA wanakuwa wakwanza kuilaumu Serikali, huku wakijua kuwa wao ndio master minders wa yote haya. Hivi ni lini sisi Watanzania tutafungua macho yetu na kukikataa Chama hiki? Mnatupeleka hatarini...Ni kwa sababu zote hizi, mimi nimeamua Kuvua Gwanda, wenzangu mnasubiri nini?:A S 39:
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?.
Hawa wabunge Wa chadema wanapewa pesa za jimbo kila mwezi je wananchi wananufaika nazo wasituzuge kwa kelele zao bungeni msisahau waligoma posho hivi sasa wanavuta Mbowe ilikataa v8 sasa amelichukua