Tuvue Gwanda
Member
- Mar 15, 2013
- 41
- 4
Kuna kila dalili sasa kuwa CHADEMA kinaipeleka nchi hii kule walipodhamiria kuwa NCHI HII HAITATAWALIKA. Waliyasema haya. Mara baada ya maneno haya, palizuka mlolongo wa matukio ya ajabu sana kama vile:
1. Kutekwa kwa Dr. Ulimboka,
2. Kuuwawa kwa Mwandishi Mwangosi,
3. Kuuwawa Padre kule Zanzibar,
4. Kuuwawa kwa mpiga rangi viatu Morogoro,
5. Kuteswa kwa Kibanda,
6. Mpango wa kumteka Msaky, na
7. Sasa fujo za Bungeni.
Wanafanya hivi halafu, CHADEMA wanakuwa wakwanza kuilaumu Serikali, huku wakijua kuwa wao ndio master minders wa yote haya. Hivi ni lini sisi Watanzania tutafungua macho yetu na kukikataa Chama hiki? Mnatupeleka hatarini...Ni kwa sababu zote hizi, mimi nimeamua Kuvua Gwanda, wenzangu mnasubiri nini?:A S 39:

mbona una sahau suala la sheikh ponda? Si ni hao hao chadema?Kuna kila dalili sasa kuwa CHADEMA kinaipeleka nchi hii kule walipodhamiria kuwa NCHI HII HAITATAWALIKA. Waliyasema haya. Mara baada ya maneno haya, palizuka mlolongo wa matukio ya ajabu sana kama vile:
1. Kutekwa kwa Dr. Ulimboka,
2. Kuuwawa kwa Mwandishi Mwangosi,
3. Kuuwawa Padre kule Zanzibar,
4. Kuuwawa kwa mpiga rangi viatu Morogoro,
5. Kuteswa kwa Kibanda,
6. Mpango wa kumteka Msaky, na
7. Sasa fujo za Bungeni.
Wanafanya hivi halafu, CHADEMA wanakuwa wakwanza kuilaumu Serikali, huku wakijua kuwa wao ndio master minders wa yote haya. Hivi ni lini sisi Watanzania tutafungua macho yetu na kukikataa Chama hiki? Mnatupeleka hatarini...Ni kwa sababu zote hizi, mimi nimeamua Kuvua Gwanda, wenzangu mnasubiri nini?:A S 39:
alafu wewe unaonekana kubwa jinga maana hata unachokiandika kinadhihilisha ujinga wako, endekeza njaa hivyo hivyo inamaana bunge huskilizi au ndio njaa imepamba moto?Sijaona tofauti yako na mbunge wako na inadhihirisha mlivyo wajinga.
Huo upumbavu ulionao ukiundeleza na mitaani, nilazima uvune ulichopanda kubwa jinga wewe unaetumia kufikili makalio. hivyo vijisenti vyashukurani utavipokea ila kama utaendeleza ujinga huu 2014 itakugharimu ki-mbu-lu weNakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?
Kuna kila dalili sasa kuwa CHADEMA kinaipeleka nchi hii kule walipodhamiria kuwa NCHI HII HAITATAWALIKA. Waliyasema haya. Mara baada ya maneno haya, palizuka mlolongo wa matukio ya ajabu sana kama vile:
1. Kutekwa kwa Dr. Ulimboka,
2. Kuuwawa kwa Mwandishi Mwangosi,
3. Kuuwawa Padre kule Zanzibar,
4. Kuuwawa kwa mpiga rangi viatu Morogoro,
5. Kuteswa kwa Kibanda,
6. Mpango wa kumteka Msaky, na
7. Sasa fujo za Bungeni.
Wanafanya hivi halafu, CHADEMA wanakuwa wakwanza kuilaumu Serikali, huku wakijua kuwa wao ndio master minders wa yote haya. Hivi ni lini sisi Watanzania tutafungua macho yetu na kukikataa Chama hiki? Mnatupeleka hatarini...Ni kwa sababu zote hizi, mimi nimeamua Kuvua Gwanda, wenzangu mnasubiri nini?:A S 39:
Sijaona tofauti yako na mbunge wako na inadhihirisha mlivyo wajinga.