Wabunge wa CCM Waomba Ushauri Kuhamia CHADEMA!

Kati ya Chadema na CUF, nadhani CUF ni better. CHADEMA kuna ugomvi sana. Chadema wanaweza kujirekebisha, na muda upo wa kujirekebisha,lakini sasa wana siasa za kutwangana makonde ndani ya Chama.

Describe!

Cuf as far as I know ni cha kidini even blind can see
 
Mivutano ndani ya CCM imewafanya baadhi ya wabunge wa CCM kuomba ushauri toka kwa wahadhiri wa fani ya Siasa wa UDSM ili kukabiliana nazo ikiwemo uwezekano wa kuhamia CHADEMA! Wabunge hao wa CCM (majina yao hayajafahamika) wamedai kuwa kuna kampeni za chini chini majimboni mwao kwa kuwa kuna wanaogawa fedha ili kuwabwaga, hali ambayo imekuwa tete kwao! SOURCE: HabariLEO, tr 15/11/2009.

Ndio maana hatuendelei!

...wanahamia CHADEMA bila kujali itikadi, sera na dira za chama, almuradi wao waulinde mlo wao tu. Miafrika ndivyo tulivyo, tunaendekeza kujilimbikizia mali na vita tu, si maendeleo ya wote!
 
Unafanya nini JF wewe Fisadi mchanga? Unapata shida gani kuandika Dr H. Mwakyembe unaishia namjua Mbunge mmoja duuu eti uwe Mbunge wa Kyela.....nitahama wilaya hadi kipindi chako kiishe!

Masanilo,

Kama una guts toa jina lako kamili na ndio tujadiliane na haitachukua muda kujua nani fisadi zaidi.

Umetumia muda wako mwingi kumchafua Mwakalinga hapa JF, sishangazwi na comments zako. Unaweza kuniita fisadi au fisadi mtoto utakavyo, ila ambacho hutaweza kufanya ni kuonyesha fact yoyote ambao inaonyesha Mwakalinga ni fisadi au kamwibia nani? Zaidi ya nusu za posts zako 5000, ni maendelezo ya chuki na wivu uliozidi kiasi dhidi ya Mwakalinga.

Endelea na kuchafua wana JF wengine, lakini pia tuambia wewe umefanya nini hata kidogo cha kuisaidia Tanzania mpaka uwe arrogant kiasi hicho?

Huwezi kuhama Kyela kwasababu hutoki Kyela. Any way siwezi kuvunja sheria za JF, ila hao wanafunzi wako wana kazi kubwa kweli. Inaelekea una wivu wa kijinga. Sitapoteza muda wangu kubishana na mtu ambaye ameonyesha chuki kubwa kiasi hicho bila kutoa sababu hata moja.

Vinginevyo nakuweka kundi la Watanzania walio wengi ambao hawasaidii wenzao, hawafanyi lolote la maana zaidi ya kujaza matumbo yao na wanaongoza kueneza majungu ya kuchafua wale wanaofanya tofauti na wao.

Endelea haitaninyima hata tone la usingizi maana nakufahamu vizuri na huna hata kura moja Kyela.
 
  1. Ni wapi nimemtaja Mwakalinga?
  2. Ni mwonee wivu Mwakalinga kwa lipi mazee? nadhani umeshindwa kuendelea kujadiliana, mjinga hapa ni nani? Masa ama Mtanzania?
  3. Wapi nimekuwa arrogant, ama nikosa mimi kumpinga Mtanzania?
  4. Niweke kundi lolote Mh Mbunge mtarajiwa hii haina taabu na mimi!, sina uwezo wa kugawa laptop jimboni wala kufanya lolote kama wewe.
  5. Mzee hunifahamu kama nisivyokufahamu wewe na sihitaji kukufahamu
  6. Umeanza kwenda personal kwa kuokoteza okoteza, mzimu wa Masa utakula sahani moja na wale vibaraka wa ufisadi kwa nafasi yangu bila kutukanana wala kuweka kebehi
Unachuki na kila anayeegemea upande wa Mwakyembe, siasa lazima ukubali kupingwa afterall JF si box la kupigia kura, ukija na sera zako za chuki tutakujibu tu..

Mas

Haka ka uwimbo ka fisadi si jui nani ali compose ,itabidi apate hati miliki kwa kalivyo popular naona kameshika chart ya bongobodi kwa miaka miwili sasa mfulilizo,ah nimekumbuka kumbe composer ni watu watatu akina. Rosttamu,mzee wa nanyumbu na ma-mvi
 
Kati ya Chadema na CUF, nadhani CUF ni better. CHADEMA kuna ugomvi sana. Chadema wanaweza kujirekebisha, na muda upo wa kujirekebisha,lakini sasa wana siasa za kutwangana makonde ndani ya Chama.
Kwa nini wasianzishe chama chao ili tuwatambue kutokana na itikadi zao?
 
Ukweli mimi siwashauri kutoka, maana huo ndio utakuwa mwisho wao kisiasa. Bora wabanane humo humo. Waangalie mfano wa wenzao waliotangulia kutoka wako wapi sasa hivi?. Pia sidhani kama itakuwa nzuri sana kwetu wananchi kutoka kwao, watawapa wapinzani wao nafasi ya kupumua na nguvu mpya ya kuua upinzani ndani na nje ya chama chao.
 
Masanilo aka ze Comedy,

Kweli nyani haoni kundule! Wapi wewe unajadili sera zaidi ya matusi tu hapa JF? Wengine tunakujua na tutakujibu jino kwa jino.

  1. Ni wapi nimemtaja Mwakalinga?
  2. Ni mwonee wivu Mwakalinga kwa lipi mazee? nadhani umeshindwa kuendelea kujadiliana, mjinga hapa ni nani? Masa ama Mtanzania?
  3. Wapi nimekuwa arrogant, ama nikosa mimi kumpinga Mtanzania?
  4. Niweke kundi lolote Mh Mbunge mtarajiwa hii haina taabu na mimi!, sina uwezo wa kugawa laptop jimboni wala kufanya lolote kama wewe.
  5. Mzee hunifahamu kama nisivyokufahamu wewe na sihitaji kukufahamu
  6. Umeanza kwenda personal kwa kuokoteza okoteza, mzimu wa Masa utakula sahani moja na wale vibaraka wa ufisadi kwa nafasi yangu bila kutukanana wala kuweka kebehi
Unachuki na kila anayeegemea upande wa Mwakyembe, siasa lazima ukubali kupingwa afterall JF si box la kupigia kura, ukija na sera zako za chuki tutakujibu tu..

Mas
 
Labda kumbukumbu zako ni mbovu; Sophia amewataja kwa majina anaowatuhumu.

.

- Mkuu vipi kwani huyu Mbunge anayelia wengine kupewa hela na mafisadi hajasema jina lake, unasema ukishtaja majina basi ndio ushahidi kamili,

- Kwani Mwakyembe anapolalamika hataji jina la anayemlalamikia kuwa amepewa hela na Lowassa, sasa una maana kwa sababu Mwakyembe anamtaja jina anyemtuhumu basi amepewa kweli anayemtuhumu?

- Vipi mkuu kuna mtu ameiba Code yako nini? This is not you!

Respect.

FMEs!
 
Wahamie tu kokote wanakotaka..who cares?? wakitaka waanzisha chama chao wenyewe..katiba inaruhusu, so they have all right to do...
 
- Mkuu vipi kwani huyu Mbunge anayelia wengine kupewa hela na mafisadi hajasema jina lake, unasema ukishtaja majina basi ndio ushahidi kamili,

- Kwani Mwakyembe anapolalamika hataji jina la anayemlalamikia kuwa amepewa hela na Lowassa, sasa una maana kwa sababu Mwakyembe anamtaja jina anyemtuhumu basi amepewa kweli anayemtuhumu?

- Vipi mkuu kuna mtu ameiba Code yako nini? This is not you!

Respect.

FMEs!

Teh teh teh! Mkuu FMES, heshima kwako.

Ni mwenyewe huyo Mtanzania. Ana uchungu sana na maendeleo ya jimbo la Kyela. Anajitahidi kumpigia debe George Mwakalinga (if they are different people any way), kwani anaamini bwana George ataleta maendeleo; na si majungu kama afanyavyo Mwakyembe.

Kwi kwi kwiii
 
Teh teh tih tih Hapo penye red nimepapenda hii ndio inaitwa kumkoma nyani giladi.

Hii thread ni uzushi, hakuna kitu kama hicho CCM. Kutoka CCM na kuhamia chadema ni kujimaliza kisiasa
Sema ni kujimaliza kimaslahi na siyo kisiasa
 
Wabunge wa CCM wanalumbana kwa sababu ya maslahi na si kingine. Ukiangalia kwa makini utagundua kinachotafutwa ni tiketi ya kurudi bungeni na kuji-align na mgombea rais, ili mwisho wa siku kundi hilo ndilo lije litoe mawaziri na kushika nafasi zingine nyeti serikalini. Kuhamia upinzani au kuanzisha chama chao hakutaleta tija katika siasa za Tanzania. Wabanane hukohuko wakimalize chama chao kilichopoteza dira na mwelekeo.

.
 
CHADEMA kuweni makini, akiingia fisi-adi mmoja tu kwenye Chama chenu mmekwisha, hawa jamaa ni hatari si mchezo! Waanzishe Chama chao: Lowasa-M/Kiti, Rostam-Katibu Mkuu, Karamagi-Katibu Mwenezi, Msabaha-Mweka Hazina, Mwanyika-Mwanasheria wa Chama...etc, etc, the list goes on!
 
Back
Top Bottom