Wabunge wa CCM wameingia mitini

Wabunge wa CCM wameingia mitini

hadi sasa hivi ni mtu wa pili anaongea lakini viti bungeni vinaonekana vipo tupu. wabunge wa ccm waliopo hawazidi 20. ova

Kwani ni kitu gani wanaongelea mkuu?
 
Wagome wasigome mswada utabadilishwa. Hawa ni wanafik.
 
hapo ndipo inapothibitisha kuwa wabunge wa ccm ni majua wanaoendeshwa na GROUP THINKING kuna ubaya gani kurekebisha sheria inayokataza wananchi kujadili mapungufu ya muswada wa sheria. halafu watu hawa ndio wanadai anawakirisha wananchi?
shame on them!
 
wabunge wa ccm nao wamegoma kuunga mkono madactari. kaazi kweli mwaka huu.jk kazi unayo.utatoboa kweli 2015? na wanajeshi wanajipanga kugoma
 
zitto anasema:
nawapongeza kamati ya nishati na madini.siwapongezi kwa jinsi walivyo tueleza pan africa energy imetusababishia hasara bali wamesema nini kinatakiwa kifanyike.
siliziki na majibu serikali inatoa kuhusu nishati na madini. mfano; sasa hivi regulator ni wizara tpdc ni kama agent na ikitaka kuajili inaomba kibali utumishi. mbona nssf hawaombi kibari utumishi? mashirika yote yanajitegemea isipokuwa tpdc. kwanini? hapa ndipo mzizi wa fitina ulipo.
 
zitto anasema; tpdc ndio shirika maskini la mafuta duniani. TMAA wamegundua upungufu wa dola 1.7 billion katika madini. tuwe na TMAA kwenye nishati ya gas na mafuta.
 
dola million 35. wao wakachukua asilimia 50 na wizara asilimia 50.
 
watanzania wanatakiwa wajue ni vipi wanafaidika na lasilimali zao lakini wizara hazisemi by zitto
 
Zitto safi sana kweli wewe si mbunge posho


Hayaaaa Hamadi huyooooooo wapi sheikh sharifu
 
zitto anasema: leo hii ukichukua sag ukampeleka tpdc ni nani atakagua mwingine?. chukueni best student wasomesheni kwa hela za makampuni za madini zinazotoa ili muwasomeshe wakafanye ukaguzi wa raslimali zao.
 
hamadi rashid anasema; hamna sela zenye kusimamia mafuta na gas. tasisi zinazosimamia zinafanya kazi kama idara za serikali. tpdc majengo yao wamepewa na nssf.
2. serikali nyingi zimeanguka kutoka na sekta ya energy( mwenyewe anaiita inaji). urithi wa watanzania kujua raslimali zao hamna.
3. hatujaambiwa riba italipwa kiasi gani kwenye mapendekezo ya mafuta na gas.
4. tpdc kuwezeshwa kwa asilimia mia nakubaliana nalo. ni lahisi sana kuwavamia machinga lakini hawa wakubwa hatusemi(madini).
 
mtu aliye vunja sheria hakuna nagociation. mtu akivunja mkataba achukuliwe sheria. serikali inataka inegociate na walio ibia serikali. sasa ndo wakati wa kamati ndogo ndogo kupitia mikataba na kuja hapa kusema mkataba fulani tumegundua mapungufu fulani tuyafanyie malekebisho. mlishasema mikataba yote italetwa hapa bungeni. time ya kulalamika imeshaisha huu ni wakati wa vitendo tutumie vyuo vyetu watutengenezee mikataba na kutufanyia research. by hamad rashid.
 
tunataka tuone gas hii inapunguza ukali wa maisha. vitu tunazalisha wenyewe lakini tunanunua bei gali. by hamadi R
 
Back
Top Bottom