dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,502
- 3,485
- Thread starter
- #41
mheshimiwa Rosemary Kasimbi Kiligini viti maalum anasema; tuwe na timeflerm. hakuna utawala bora. pesa nyingi za serikali zinapote. naomba mikataba yote inayohusu madini na nishati iletwe yote tuipitie upya ili tuweze kuokoa pesa zinazopotea. hawa watu walio ibia nchi dci bunge lijalo inabidi atuwambie ni hatwa gani amechukua thidi ya wezi wa nishati na madini. wakati umefika kwa waziri husika kufanya maamuzi magumu. huu ndo wakati wa waziri kuact.