dubu JF-Expert Member Joined Oct 18, 2011 Posts 3,502 Reaction score 3,485 Feb 7, 2012 Thread starter #61 maamuzi magumu yatachukuliwe lakini siyo ya kutupeleka kwenye korongo by ngereja.
trachomatis JF-Expert Member Joined Jun 7, 2011 Posts 3,758 Reaction score 746 Feb 7, 2012 #62 MNYIHANZU said: Ccm na wananchi ni kama mbingu ilivyo mbali na dunia. Click to expand... Kuna jamaa naomba nimquote: CCM (na serikali yake)haina haja na Afya zetu,ila ina haja na Kura zetu!
MNYIHANZU said: Ccm na wananchi ni kama mbingu ilivyo mbali na dunia. Click to expand... Kuna jamaa naomba nimquote: CCM (na serikali yake)haina haja na Afya zetu,ila ina haja na Kura zetu!
dubu JF-Expert Member Joined Oct 18, 2011 Posts 3,502 Reaction score 3,485 Feb 7, 2012 Thread starter #63 ullenium tutazitungia shria zake maalum. by ngereja **Wabunge wa ccm wanazidi kuongezeka bungeni nafikili kuna kitu wamekuja kupitisha**
ullenium tutazitungia shria zake maalum. by ngereja **Wabunge wa ccm wanazidi kuongezeka bungeni nafikili kuna kitu wamekuja kupitisha**
The Stig JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 1,113 Reaction score 1,106 Feb 7, 2012 #64 Ngeleja kajieleza vizuri sana kwenye majumuisho yake
dubu JF-Expert Member Joined Oct 18, 2011 Posts 3,502 Reaction score 3,485 Feb 7, 2012 Thread starter #65 taarifa ya ngereja kuhusu gas imepokelewa kwa watu walio wengi kusema ndiooooooooooooooo.......!!!