Mpaka Mh Speaker kaona haibu ikabidi atumie mfano wa Wabunge wa CDM kukutana kuwa imekuwa ni utaratibu wa kawaida. Cha ajabu wabunge wote wamecheka maana wanajua nini kitaendelea huko kikaoni maana wanajua diyo wanaenda kuigawana ile 1,000,000,000(Bil 1) iliyotoka kwenye idara za Wizara ya Nishati na MadiniYaaani Nimekasirika sana nilivyosikia hilo Tangazo la Spika!!!
Hivi hii Nchi nani Katuroga??, Argggghhhhhhhhhh
Mkuu tulishindwa kuiondoa CCM madarakani mwaka jana, matokeo yake ndiyo haya leo hii rais aliyeko madarakani anakwambia tatizo la umeme ni "Mother Nature" what do you expect???Yaaani Nimekasirika sana nilivyosikia hilo Tangazo la Spika!!!
Hivi hii Nchi nani Katuroga??, Argggghhhhhhhhhh
Na tusubiri hiyo jioni tuone MBIVU na MBICHI, lkn kwa CCM wataipitisha tu.
Ni kweli hapo umenena, ngoja tuone . Ila ushauri wangu wabunge wote wa CHADEMA ikiwezekana watoke nje ya Bunge ili kuweka msisitizo zaidi.Mpaka Mh Speaker kaona haibu ikabidi atumie mfano wa Wabunge wa CDM kukutana kuwa imekuwa ni utaratibu wa kawaida. Cha ajabu wabunge wote wamecheka maana wanajua nini kitaendelea huko kikaoni maana wanajua diyo wanaenda kuigawana ile 1,000,000,000(Bil 1) iliyotoka kwenye idara za Wizara ya Nishati na Madini
Wabunge wa CCM wanajipanga kama kamati kupitisha Bajeti ya Wizara ya Nishati.
Umeme ni swala la kitaifa.Sio la CHADEMa wala CCM. Chonde wana CCM,ndayi ni watanzania.Kwanini mkubali ndugu zenu baba zenu,mama zenu,ndugu zenu na majrani zenu wakae gizani kwa nyinyi kupata umaarufu kwa Chama?? Cheo ni dhamana! Unaposimamia jambo la kitaifa kwa moyo Watanzania watakupatia 'CREDIT'
Please,Tuwe waungwana kwa swala la umeme!
Tangazo la speaker wa Bunge limetia fola baada ya bunge kulindima kwa vicheko juu ya wabunge wote kuonana hali kukiwa na kila dalili kuwa budget ya Wizara ya Nishati na Madini haitapita. Hali hiyo inaashiria kuwa wabunge wanataka kuwekwa swa( Kusetiwa) ili wakati wa kupitisha budget wawe ''RUBBER STAMP'' ya ''SIRIKALI''.
My intake; Wabunge wa CCM msikubalu kubeba haibu hii!!