Wabunge wa CCM msimuige Hussein Bashe

Una weka uthibitisho kuwa ili uwe mwanachama mtiifu wa CCM lazima uwe muongo na mnafiki....
Aende chadema aone kama atapata hata fursa ya kuisema chadema kama atakaa hata wiki..mbowe alitoa jina la Msigwa kwenye mfuko katika uchaguzi unaona kuna aliye shout pamoja na kampeni zote walizofanya na gharama alizoingia ole sosopi?
 
Nipe list ya watu waliotekwa.....acha ku exaggerate
 
ishu fact zinazotolewa cyo uchama.tatizo letu tunachukulia siasa kama usimba na uyanga kwamba no matter what lazima nishinde ili nimzomee mpinzani.we hv to know dat siasa haipo hivyo.lazma tuangalie tunasonga vipi mbele.so cjui Bashe ana uanachama wavyama viwili ukiambiwa uzibtishe utazbitisha?be care fully JPM alishasema
 

kura walitafuta wao, form walichukua wao, iweje wewe uwapangie wa kutomuiga?! haya mambo ya kupangiana hata rais hayapendi kabisa, na wabunge nao hawapendi. hivyo basi fanya yako na hakuna atakayekupangia
 
Wakiwa Bungeni tunayegemea waweke maslahi ya taifa kwanza vyama baadae ila huku Tanzania mambo ni tofauti.

Mumelishwa unga wa ndele mnawaza lichama lenu muda wote.

Mlaaniwe

 
Usalama uko mikononi mwako na kutokuwa salama kupo mikononi mwako..ni suala la maamuzi tu..hata ukiishi na jirani yako vibaya jihesabu hauko salama..maana lolote baya liñaweza kukuta.
Una mawazo ya Kumasikini sana tena sana
 
Wabunge wamechaguliwa na wananchi ingependeza wanasiasa wote wakawasikiliza waliowachagua matakwa yao kama haiwezekani tuwapige chini. Mikoa inayoweza ni michache sana kuachana na wabunge wa ndio, elimu ndio kikwazo natamani mikoa yote ingekua kama mikoa ya nyanda za juu kusini na mikoa ya kaskazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…