Wabunge wa CCM msimuige Hussein Bashe

Kwa hiyo UTEKAJI ndio mfumo sahihi wa CCM kushughulika na wakosaji badala ya kuwashtaki mahakamani?
Ni njia sahihi duniani kote ya kuendesha nchi..ndio ukienda marekani wana CIA, ukienda urusi kuna KGB..sio kila mtuhumiwa anafikishwa mahakamani..huo ni mfumo rasmi kabisa wa dunia..mtapiga sana kelele ila hakuna namna..ukishajitengenezea mazingira ya kutekwa we subiri kutekwa tu.
 
Yaani unaleta habari za Ulimboka?alipojitokeza Kijo bisimba mlilalamika kuwa ametengeneza picha ya Dr kutekwa? Leo Bashe anazungumzia haya unasema ni ghost member wa ccm acha upuuzi wewe kijana
Huyo msomali aende kwao akasaidie peace keeping..siasa za Tanzania za kulazimisha kutekwa hataziweza.
 
Humjui Bashe wewe, huyu mzalendo ameanza kupiga kelele siku nyingi tangu sakata la Dk Ulimboka na pia alikuwa mstari wa mbele pale Absalom Kibanda alipojeruhiwa
 
Mleta mada ukiambiwa ulizaliwa kwa bahati mbaya utalalamika kweli? watu wanasemea usalama wa taifa na haki za kuishi, wewe huu utekaji unauunga mkono? je nii hali inayoashiria mema kweli? ulifikiri kabla ya kuandika haya? Nafikiri hujitambui hata kdg na wala hujui unaishi sayari ipi!
 
Huyo msomali aende kwao akasaidie peace keeping..siasa za Tanzania za kulazimisha kutekwa hataziweza.
Nina wasiwasi ni condom ilipasuka sio bure. mtu mwenye akili timamu na aliyezaliwa kwa 'mpango' hawezi kusema haya yako.
 
Mkuu na zile namba za kirumi tumeshazisoma zote weka za Kichato.
 
Bashe anasimamia ukweli kwa hiyo kusimamia haki ni kuwa na uraia wa vyama viwili hebu acha mawazo mgando wewe
 
Haya CCM endeleeni kuteka, kutesa, na kung'oa meno na macho. Ifikapo 2020 msisahau kutupa mrejesho mmeua wangapi.
 
Kumbe ndo siasa zenu za kuteka watu? Haya mrudisheni na Kinana
Hata we ukitaka kutekwa utatekwa tu..jitokeze kisha tengeneza mazingira..sasa hivi tupo kwenye Ujenzi wa nchi wa kiwango cha kimataifa..leo tunazindua reli ya umeme kitu ambacho hadi babu yako anakufa hakuwai kukiota..kisha mnataka kututoa kwenye reli kwa upuuzi wenu..mtanyooka tu taratibu.
 
Akili fupi sana ...hizo ndoto mnazoota zitawapa uchizi.

Toka lini wehu wakashika dola???

Utawala wa jpm ni tofauti na tawala zilizopita!Mtanyooka tu
Wenye akiki nyingi pekee ndio watanielewa jibu nililokujibu sio wewe kichwa box,hata namna ya ujibuji wako yaonyesha huna cheti...
 
Wabongo tunashida sana, umeshindwa kujadili hoja alizozitoa Bashe umekimbilia kumjadili mtoa hoja. Acha kwanza tujadili hoja alizotoa Bashe, tukimaliza tutarudi kukusikiliza na wewe.
 
Haya CCM endeleeni kuteka, kutesa, na kung'oa meno na macho. Ifikapo 2020 msisahau kutupa mrejesho mmeua wangapi.
Hii kazi mmeiingilia tu..sisi tutawaambia maendeleo..haya mengine tuachieni sisi..kama una hofu sana hama nchi.
 
Nani anakutoa kwenye reli wewe mbigwa? Yaani una kila kitu bado unalalamika kama mke wa kambo? Ebhooo jitahidi kutatua changamoto na sio kuzikimbia na kuteka watu najua unafanya hayo ya kifala kwa upuuzi huo ,babu yangu haote nini sasa yaani nilipe kodi kukuzidi wewe alafu uje na lugha za kipuuzi
 
Wakumbushe wako wapi wanasiasa wazuri wa Kenya kama :
1. Tom Mboya alipigwa risasi mwaka 1969
2. J,M. Kariuki alitekwa na kuuawa mwaka 1975
3. Robert Ouko alitekwa na kuuawa mwaka 1990
Ndiyo maana namzungumzia huyu Njonjo wa Tz ninapimkumbuka Alphonse Mawazo , Ben Saanane , Marehemu wa sandarus za mto Ruvu etc. Njonjo walitumika kuratibu huo utekaji na mauaji hayo.
 
Hii Inchi itataenda? Kama Mbunge akifanya kazi yake vizuri ya kuisimamia Serikari, anakua msaliti wa chama, vyama vinaingiaje Bungeni. Sasa ni wakati was kuijali Tanzania
 
Una weka uthibitisho kuwa ili uwe mwanachama mtiifu wa CCM lazima uwe muongo na mnafiki....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…