Wabunge wa CCM msimuige Hussein Bashe

Sheiza , Wabunge wa CCM wanajua wanachokisema waache waseme ukweli acha uchwara wako
 
Du! kweli kabisa wabunge wa ccm msimuge kabisaaaaaaaa Bashe na Nape, mkiona Suruali semeni Kaputula, mkiona Bahari semeni Madimbwi. Na hii ndo inayomuharibia mwinyimkulu katika utawala wake.
 
Mbona walivyotekwa kina ulimboka walikaa kimya na hadi leo ukiwauliza ulimboka yuko wapi hao wabunge hawajui?? Ukitoa tukio la Roma nani mwingine ametekwa?? Maana Ben Saanane ilishakatàzwa kuzungumzia na mbowe..na T-shirt mlizonunua mkazivua..
Usisaha usemi wa Msiba usikie kwa mwenzio. Lisu aliwaambia wakitoka kwetu watahamia kwenu. Hawakujua alichomaanisha.
 
mtoa mada atakuwa mtekaji
 
Maccm yote ng'ombe tu......hakuna mwanaccm mwenye uchungu na nchi hii ndo maana wanalala bungeni na wanapiga tu makofi....
ccm haina faida yoyote kwa taifa hili
 
Taifa la nyumbani kwako na wauza dawa za kulevya
 
OK, ukiachilia mbali hayo mengine ya ki-chama, huyu mtu pamoja na Mh. Musukuma walitekwa/kukamatwa ktk mazingira tata na kunyanyaswa, sasa endapo watu wa hadhi yao na wengine kadhaa ktk jamii wanaweza kukumbwa na kadhia hiyo na mamlaka rasmi za kiserikali hazitoi maelazo ya kueleweka, kwa nini asijitetee binafsi na hasa ukizingatia kuwa fursa hiyo anayo kama Mb. na Bunge ndio muhimili sawia kuisimamia serikali ktk mambo yote?
 
ww ni mpuuzi tu una lolote , njaa inakusumbua na ndio wanafiki wenyewe anasema Bashe
 
Ukiona mtu mjinga anashabikia ujinga usiungane naye ,WEWE NI MJINGA WA KIWANZO CHA JET ENGINE.
 
Hahahah Bashe, wachome, wachome, wachomeeeee pale wasipotaka kuelewa kuwa unatetea Taifa na sio chama.....
 
ccm ndo mmefik mwisho sasa man 2020 wabunge waerevu na wenye busara san watarudi bungeni ila wabunge wa ovyo ovyo kurudi bungeni ccm sahauni.
 
Mkuu wewe endelea kubwata lakini siku utakayotekwa na watu wasiojulikana, ukapelekwa mahali pasipojulikana, ukateswa na watu wasiokulikana halafu ukatupwa mahali pasipojulikana na kuokotwa na watu wasiojulikana, ndipo utakapotia akili.
 
Mbona walivyotekwa kina ulimboka walikaa kimya na hadi leo ukiwauliza ulimboka yuko wapi hao wabunge hawajui?? Ukitoa tukio la Roma nani mwingine ametekwa?? Maana Ben Saanane ilishakatàzwa kuzungumzia na mbowe..na T-shirt mlizonunua mkazivua..
Yaani unaleta habari za Ulimboka?alipojitokeza Kijo bisimba mlilalamika kuwa ametengeneza picha ya Dr kutekwa? Leo Bashe anazungumzia haya unasema ni ghost member wa ccm acha upuuzi wewe kijana
 
Mkuu wewe endelea kubwata lakini siku utakayotekwa na watu wasiojulikana, ukapelekwa mahali pasipojulikana, ukateswa na watu wasiokulikana halafu ukatupwa mahali pasipojulikana na kuokotwa na watu wasiojulikana, ndipo utakapotia akili.
Ukiona umetekwa basi jua ulishajitengenezea au umejitengenezea mwenyewe mazingira ya kutekwa..hakuna mtu atakayetumia costs na muda wake kukuteka bila sababu hususani kama wewe sio albino kundi ambalo lilikuwa mashakani.
 
Kwa hiyo UTEKAJI ndio mfumo sahihi wa CCM kushughulika na wakosaji badala ya kuwashtaki mahakamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…