GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
kwani wabunge wa CHADEMA wamevunja kifungu gani cha katiba
kwani wabunge wa CHADEMA wamevunja kifungu gani cha katiba
baada ya kutoka ukumbini wakati mh. Rais wa jmt - dr. Jakaya , m. Kikwete akianza kuhutubia. Wabunge wa ccm sasa wanajipanga kutoa azimio la bunge kwa wale wabunge wote hawamtambui rais watoke bungeni hadi pale watakapo mtambua, kwani wameenda kinyume na kiapo chao cha ubunge cha kutii na kuilinda katiba ya jmt.
Na kwa vile wabunge wa ccm ni wengi , hili linaweza kufanyika na azimio likapata uungwaji mkono wa 2/3 ya wabunge, ambapo chadema hawatapata fursa tena ya kutoa michango yao bungeni.
Wanasema ndani ya katiba Rais ametajwa na mamlaka yake. Kama wakati unaapa 'utailinda na kuitii' ina maana yale yote yaliyomo umekubaliana nayo. Sasa inakuwaje , tena humtambui Rais wakati kiapo chako cha kukuweka ubunge ulisema utaitii na kuilinda katiba?. Hapo sasa ndio jamaa wanataka kuja na azimio la bunge, na kwa kweli itawa affect sana CHADEMA.
Baada ya kutoka ukumbini wakati Mh. Rais wa JMT - DR. JAKAYA , M. KIKWETE akianza kuhutubia. Wabunge wa CCM sasa wanajipanga kutoa AZIMIO LA BUNGE kwa wale wabunge wote hawamtambui Rais watoke Bungeni hadi pale watakapo mtambua, kwani wameenda kinyume na kiapo chao cha Ubunge cha kutii na kuilinda Katiba ya JMT.
Na kwa vile wabunge wa CCM ni wengi , hili linaweza kufanyika na Azimio likapata uungwaji mkono wa 2/3 ya wabunge, ambapo CHADEMA hawatapata fursa tena ya kutoa michango yao bungeni.