Menyainganyi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 1,170
- 1,106
Mpumbavu NI Wewe Mtuma Post Sio Wabunge Wa CCM, we Unataka Waseme Unalotaka Wewe???.
Unataka Watoe Mawazo ya Ukawa???
Kama Kuibana Serikali,Wanaibana Pale Inapostahili Sio Lawama Zisizo Na Mpangilio Kama Wabunge wa UKAWA, Ambao Wanageuza Bunge Uwanja wa Kampeni Badala ya Kujadili Bajeti.
Kwa maslahi ya watz ccm haitakiwi kuwepo baada ya October.Kwa upuuzi huu wa maccm Mimi nilishakataa kuchagua eti MTU, Mimi nachagua chama.Miccm yote inafanana na ndiyo kikwazo kikubwa kwa marndeleo ya watz
Umesema kweli mkuu.., tatizo letu wananchi wengi ni kufikiri siasa ni kwa wanasiasa wenye kadi tuu, wale wanaosimama majukwaani...
Napigilia msumari hoja yako..., unapokwenda ktk nchi ukakuta ina maendeleo, ujue ni SIASA..., wananchi wao wako macho, wanashiriki SIASA...
CCM wametufanya wa TZ mazuzu..., sasa ni wakati wa kuamka na kuwang'oa madarakani..., tuwape na wapinzani, watanzania wenzetu nchi ili tutoke hapa tulipokwama...!
hujaelewa hoja yake.Anahoji ushabiki wa ki vyama kwenye maswala muhimu yanayohusu uhai wa binadamu wenzetu.
Kuna watu wanajenga nyumba karibu na mgodi makusudi ili walipwe fidia. Hizo nyumba zinaitwa TEGESHA.. Ester Matiko atakuwa mmojawapo.
Hivi huna mishipa ya aibu we mama!?Hata yule Mwanasheria mfano anapiga kelele hajui anachoongea nchi sio jimbo muelewe
Wacheni mambo ya kukaa kwenye computer mka post upuuzi wenu wachakabisa hii nchi sio ya kuchezewa mleta mada usirudie
Kuna ck nitafanya jambo hamtaamini maana inakela sn
Kuna watu wanajenga nyumba karibu na mgodi makusudi ili walipwe fidia. Hizo nyumba zinaitwa TEGESHA.. Ester Matiko atakuwa mmojawapo.
sikushangaiWewe usitake kunitafsiria Kiswahili mimi, potea.
Wabunge CCM hawajitambui na hawatambui wajibu wao ndani ya bunge kwa Taifa.....
Acha statistics za uwongo wewe, unajitungiatungia uwongo mtupu hapa, kojoa ukalalweMbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na 50 wa CCM, sasa hapo unaweza walinganisha???
TAFAKARI !!!
Kuna watu wanajenga nyumba karibu na mgodi makusudi ili walipwe fidia. Hizo nyumba zinaitwa TEGESHA.. Ester Matiko atakuwa mmojawapo.
Sasa ulitaka wasisikilize majina?
Unanchekesha!
Ndugu yawezekana MAMBO YAKO ya KIMAISHA ni MAZURI SANA.. ! Kwamba kila mpango wako na hata wa mwanafamilia wako vinakwenda vizuri. Lakini najiuliza pia una uhakika gani kuwa wajukuu zako nao wataishi maisha kama yako ya raha mstarehe?
Hivi kweli unaweza kuleta mzaha kwenye jambo muhimu la maisha ya halaiki kama hivi ulivyo-comment? Hivi kweli jambo lolote litakuwa jema tu ikiwa limesemwa na au kutendwa na CCM?
Hivi nchi hii ili iweze kuendelea ni lazima tu iongozwe na wana-CCM? Mtanzania anazaliwa ana akili na nguvu. Ikitokea akawa kinyume cha CCM tayari anakuwa ameondokewa na sifa hizo, siyo? Ndivyo unavyoamini?
laki si pesa na ccm yake hawawezi kufikiria kama unavyofikiria wewe wala hayo maneno ya hekima hawajali, wanachojua wao ni kupiga pesa tu na wabunge wao kusema ndioooooNdugu yawezekana mambo yako ya kimaisha ni mazuri sana. Kwamba kila mpango wako na hata wa mwanafamilia wako vinakwenda vizuri. Lakini najiuliza pia una uhakika gani kuwa wajukuu zako nao wataishi maisha kama yako ya raha mstarehe?