Wabunge wa CCM aibu

Na kibaya zaidi esta bulaya wakati anachangia aliunga mkono hoja hiyo.Mimi nilishangaa kwanini ndugai hakumwambia waziri ajibu yeye akakimbilia kwenye kupiga kura.
 
mkuu angalia tu usijekufa kwa presha na hasira tukapoteza nguvu kazi ya taifa cha msingi tukomae tu awa wapuuzi wasirudi afta oktober

CCM wanafanya kila mbinu ili waendelee kutawala; hivi sasa wamekuja na mbinu ya kutowaandikisha wapiga kura sehemu zote ambazo walishindwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa!! Huko Rungwe magharibi ambako walishindwa vibaya sana sehemu za Kiwira hawaandikishi wapiga kura!! Shame Shame!!!!!Aibu nyie magamba!!!!!!!!
 

Looh sasa hii ni comedy zaidi ya Comical Ally former Saddam information minister!

Kweli CCM is a mental disaese, maana hao wasema ndiyo kwa kusikia JINA la mbunge na sio HOJA iliyotolewa wapo pia Professors, to mention them Mwandosya, Maghembe, Muhongo, Tibaijuka, Msola, Kawambwa, Mwakyusa etc

Sasa kama CCM sio mental disease unawezaje kuwaelezea hawa Professors?
 
Hivi wapuuzi kama wewe bado mpo tz hii? pole sana kwani wewe ni wa kuhurumiwa tu

Mbona huyu ananafuu! Kuna mizigo ndani ya chama chao ukiisikiliza kama una roho nyepesi waweza kuzimia ghafla
 

Kwa namna walivyobanwa kwa hoja na UKAWA, jana wamekuja na mbinu mpya kwenye Television, wakati mbunge anachangia hawaoneshi ni wa chama gani wala anatokea jimbo gani!
 
Hoja ya ester matiko ilikuwa ya msingi sana maana pale kwenye mgodi wa nyamongo kuna wananchi wanaishi karibu na mgodi na valuation imeishafanyika tayari na pesa zipo kwa mujibu wa mgodi lakini serikali inapiga longolongo hivyo wananchi wanaendelea kuathirika baadala wabunge wa ccm watete wananchi wao wasiendelee kufa wao wanakataa sababu hoja imetolewa na Ester matiko wa CHADEMA!
 
KUNA HOJA MOJA IMETOLEWA JANA MJENGONI DODOMA NA MH. ESTHER WA KAMBI YA UPINZANI akichangia hoja juu ya mpango wa suala la mazingira na haswa zaidi alijikita kwenye upande wa MIGODI ukiwemo huu mgodi wa NORHTMARA MINING. ACACIA n.k

KUNA ATHARI zinawapata wanavijiji waishio jirani na migodi hiyo ambao wameathirika na wanaendelea kuathirika sana na mpaka wengine kupata na maafa ya kufariki kutokana na ULIPUAJI HUO.

mh. ESTHER alitaka kupata maelezo ya kina kutoka serikalini/wizara ni kwa nini haichukui hatua za kuwahamisha wananchi hao kwa kwa kutekeleza kuwalipa haki yao stahiki kama fidia ili kupisha mradi huo na pia kuepuka kupata athari zitokanazo na milipuko inayofanywa na MGODI HUO.

MH. ESTHER alitoa angalizo kwa naibu spika NDUGAI kuwa atazuia shilingi endapo hapatapatikana suluhisho kwa ajili ya kuwaokoa kima mama wajawazito wanao na walio athirika na milipuko hiyo kwa mimba zao kuharibika, nyumba zao kuanguka kila inapotokea shughuli hiyo ambayo inasemekana kisheria mhusika mwenye mradi alipaswa kuhakikisha kuwa wananchi walio pembeni mwa mradi huo wnahamishwa kwa kulipwa fidia ili kuwaepusha na adha hiyo. na ndipo mradi uweze kuendelea na shughuli zake bila athari kwa wananchi whausika,

kutokana na kukosa majibu ya kuridhisha NAIBU SPIKA NDUGAI alitumia njia ileile walioizoea ya wanaCCM ili kuokoa jahazi lisizame. NDUGAI aliamua baada ya waziri mhusika wa mazigira kushindwa kutoa majibu yenye kueleweka NAIBU SPIKA aliinusuru waizara kwa kutaka ipigwe kura kwa style yao ile walioizoea ya SIOOOOOO ama NDIOOOOOO na waliosema SIO (CCM) wameshinda.

KILICHONISHANGAZA NI PALE WABUNGE WA CCM TENA WACHACHE WALISKIKA NA STYLE YAO YA SIOOO kwa kuishinda kura ya NDIOOOOO iliyosemwa na wabunge wa upinzani ambao tena kwa wingi wao mkubwa na hatimaye naibu spika NDUGAI akishirikiana na wabunge wa CCM kwa kusema waliosema SIO wameshinda.

kwa unafiki wao wa kuona heri CCM idumu lakini hawa vikaragosi (WANANCHI) wanavijiji waathirika wafe kwa kutokana na kazi ya ulipuaji(blasting) inayoendelea hapo mgodini kuliko kuiadhiri wizara husika kwa kuleta hoja ya kupiga kura ya kufanya maamuzi mepesi ya kupiga kura ya SIOOOOO iliyopigwa na wajumbe wa ccm wachache na NDIOOO iliyosemwa na wapinzani waliosikika kwa wingi zaidi ya SIOO ya ccm na hatimaye SPIKA NDUGAI kumaliza mjadala kwa kusema waliosema SYOOOOO wameshinda.

hii maana yake ni kwamba wananchi walio karibu na migodi hiyo waendelee kuathirkia , kufa, kuvunjika kudondoka kwa nyumba zao bila huruma na bila kuwalipa fidia zao.

HII NDIO SERIKALI YA CCM INAYOWAKANDAMIZA WANANCHI BILA HURUMA NA KUWAJALIwanaowaita WAWEKEZAJI..

MH. ESTHER alilzimika kutembelea maeneo ya migodi hiyo na kuonana na wananchi waathirika na wahusika wa mgodi huo na aliweza kukutana na viongozi wa mgodi huo ambapo waliweza kuongea mengi na hatimaye kampuni ilisema pesa za kuwalipa wananchi zipo zinawasubiri ila tatizo ni CCM kupitia serikali yake ndio kikwazo.

HII NI AIBU KUBWA NA UDHALILISHAJI NA UUAJI WA WANANCHI WASIO NA HATIA.

''TAHADHARI CHUKUA HATUA MAPEMA''
 
Nilikuwa naangalia bunge yaani ningekuwa na uwezo hawa wabunge wa ccm ningewa........... Po
 
Mpumbavu NI Wewe Mtuma Post Sio Wabunge Wa CCM, we Unataka Waseme Unalotaka Wewe???.
Unataka Watoe Mawazo ya Ukawa???
Kama Kuibana Serikali,Wanaibana Pale Inapostahili Sio Lawama Zisizo Na Mpangilio Kama Wabunge wa UKAWA, Ambao Wanageuza Bunge Uwanja wa Kampeni Badala ya Kujadili Bajeti.
 
hii imenifanya nitoe elimu ya uraia kwa nguvu zangu zote ili tuiondoe ccm october.mpaka sasa nina watu si chini ya mia mtaan kwangu ambao wameelewa somo
 
Punguza jaziba mkuu.
 
Kwa maslahi ya watz ccm haitakiwi kuwepo baada ya October.Kwa upuuzi huu wa maccm Mimi nilishakataa kuchagua eti MTU, Mimi nachagua chama.Miccm yote inafanana na ndiyo kikwazo kikubwa kwa marndeleo ya watz
 

Umesema kweli mkuu.., tatizo letu wananchi wengi ni kufikiri siasa ni kwa wanasiasa wenye kadi tuu, wale wanaosimama majukwaani...
Napigilia msumari hoja yako..., unapokwenda ktk nchi ukakuta ina maendeleo, ujue ni SIASA..., wananchi wao wako macho, wanashiriki SIASA...
CCM wametufanya wa TZ mazuzu..., sasa ni wakati wa kuamka na kuwang'oa madarakani..., tuwape na wapinzani, watanzania wenzetu nchi ili tutoke hapa tulipokwama...!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…