Wabunge wa CCM acheni kutudanganya

Mbunge wa Jimbo la Karagwe na Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa Innocent Bash akipata kifungua kinywa na wananchi wa Kijiji cha Ahakishaka, Kata ya Nyabionza, Karagwe mkoani Kagera.

Mbunge yupo jimboni kwake kwa sasa na alifika katika mgahawa huo ili kupata kifungua kinywa na wananchi wa jimbo lake.

Huu ni usanii na udanganyifu wa kiwango cha lami, alichaguliwa mwaka 2015 hajawahi hata kushiriki mazishi ya watu wa kijijini kwake au jimboni kwake, kila siku yupo DSM.

Leo hii uchaguzi anajifanya kula pamoja na wapiga kura wake.

View attachment 1510320
Dah inauma sanaaa
 
Hahahahaaaa

Hili jamaa nafiki sana bwana....

Haya mambo ya ku-ekti ndio yananifanya nimuone sanii tupu
 
Mbunge wa Jimbo la Karagwe na Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa Innocent Bash akipata kifungua kinywa na wananchi wa Kijiji cha Ahakishaka, Kata ya Nyabionza, Karagwe mkoani Kagera.

Mbunge yupo jimboni kwake kwa sasa na alifika katika mgahawa huo ili kupata kifungua kinywa na wananchi wa jimbo lake.

Huu ni usanii na udanganyifu wa kiwango cha lami, alichaguliwa mwaka 2015 hajawahi hata kushiriki mazishi ya watu wa kijijini kwake au jimboni kwake, kila siku yupo DSM.

Leo hii uchaguzi anajifanya kula pamoja na wapiga kura wake.

View attachment 1510320
We upo Karagwe?
 
Najaribu kutafuta zile picha za Lowassa 2015 alipokunywa uji tandale na kupanda daladala akiwa amevalia kombati za mgambo!
 
Huyu kupata ubunge safari hii ni kudra za mwenyezi mungu
Yaani alivyokuwa limbukeni! Bora hata angeendesha swala au phenix angalau! Na huko mkofia ndiyo kabisa karikoroga! Sijui waendesha baiskeli wangapi wa hapo mahala Wanavaa hiyo mikofia.
 
Back
Top Bottom