William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Thread starter
- #321
Hongera kwa kuonyesha moyo wako huu WA kijasiri kwani kwa Uozo uliokithiri chamani kwenu yeyote asiye jasiri hawezi kujianika humu. Sera zenu za kuchakachuana kwenye kura za maoni na kubebana ndio zinazopelekea kupeleka wabunge wengi ambao si wanasiasa japo ni wasomi. Elewa watakusoma lakini hawatokusikiliza.
- Vyama vyote vina matatizo tena makubwa sana, lakini muhimu ni kujadili na ni lazima ufike mahali uanze kujadili na wahusika, dawa ni kuwaomba kistaarabu badala ya kutumia kejeli na matusi, otherwsie unaeleweka sana bro!
William.