William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Age discrimination.
Kwa nini unafikiri JF ni uwanja wa vijana tu?
Mtu mwenye ndoto za kuwa kiongozi hatakiwi kuwagawa watu, anatakiwa kuwaunganisha. Habari za wabunge vijana/ wazee ni kuwagawa wabunge. Ongea ideas, sio kuwagawa wabunge kama mafungu ya dagaa.
Chukua somo la bure la leo, kama ego yako itakuruhusu kujifunza.
- Nimetoa somo kwa Wabunge vijana na wewe unaweza kuanzisha thread ya Wabunge wazee, mimi nia na madhumuni yangu kwenye hii thread ilikuwa ni Wabunge Vijana tu, ambao ninashirikiana nao sana kila siku ya Mungu, leo nilikuwa nao na Jumapili nitakuwa nao tena, I mean kama huna uhakika na ishu ni kuuliza kwanza, kuliko kukurupuka kama ulivyofanya, tizama heading kwanza kabla ya kukurupuka next time! ha1 ha! ha!
William.
Kiranga, binafsi sijaona age discrimination yeyote kwenye thread hii, ni sawa na kualika kikundi chochote au wabunge wanawake huwezi kusema ni hiyo ni gender discrimination. Tukitumia notion yako hiyo kuna siku tutaogopa kujumuika na vijana wenzetu kwa hofu ya kuambiwa wabaguzi.Age discrimination.
Kwa nini unafikiri JF ni uwanja wa vijana tu?
Mtu mwenye ndoto za kuwa kiongozi hatakiwi kuwagawa watu, anatakiwa kuwaunganisha. Habari za wabunge vijana/ wazee ni kuwagawa wabunge. Ongea ideas, sio kuwagawa wabunge kama mafungu ya dagaa.
Chukua somo la bure la leo, kama ego yako itakuruhusu kujifunza.
Kiranga, binafsi sijaona age discrimination yeyote kwenye thread hii, ni sawa na kualika kikundi chochote au wabunge wanawake huwezi kusema ni hiyo ni gender discrimination. Tukitumia notion yako hiyo kuna siku tutaogopa kujumuika na vijana wenzetu kwa hofu ya kuambiwa wabaguzi.
Hapana,
Ulichofanya hapa ni kitu kinaitwa "age discrimination". Ume discriminate wazee ambao wengine tunawaheshimu sana. Habari ya wajibu wa wabunge kuwa karibu na wananchi wao, na kuja kutoa vipande hapa JF, ni ya wabunge wote. Sasa kwa nini wewe ufanye hii ni habari inayowahusu wabunge vijana tu? Unamaanisha kwamba hutegemei wazee waweze kuja hapa, na wala huwashikii bango. Una wa discriminate. Unatuonyesha kwamba akilini mwako unafikiri kwamba wazee hawawezi na hata hawafai kufuatiliwa kwa hili.
Hii age discrimination haina tofauti na gender discrimination au racial discrimination.
Ungesema hapa "wabunge wanawake hamji hapa JF" tungeona mlipuko wa watu kusema kwamba unaleta gender discrimination.
Sasa umesema vijana, watu hawako sensitive sana na age discrimination lakini mii naiona.
Acha kubagua wabunge kwa dini, kabila, jinsia au umri. Hizi zote ni discrimination tu.
Hapa ni mahali pa kupoteza wakati si pa wanasiasa na viongozi kukaa na kuwa mateja ya JF.
Wewe William ni Potato coach hata mwili wako unaonesha ni mtu uunaeweza kukaa kwenye lap top yako kutwa nzima.
Hoja na shughuli wazijibu hukohuko, hapa wawaachie magwanda na sisi tunatosha kuwa kong'oli.
Kiranga, sioni kama una point yeyote kwa kusema kwanini vijana na siyo wazee, hata unaposema angealika wazee huoini pia na wewe unaingia kwenye kitu kile kile unachokipinga?, tofauti yake ni sababu tu mnazotumia. Mimi sioni ubaya na kama Willy alivyokushauri wewe unaweza kuanzisha thread ya wazee au ya wabunge wote kabisa, ili hii uache watu waendelee na mada iliyopo.Kisa cha ku limit swali kwa vijana ni nini?
Tungekuwa tuna wabunge wazee wengi wapo hapa, na wabunge vijana wanakosekana, William angekuwa na point.
Actually mie ningemuona ana point kubwa zaidi angesema wabunge wazee hamji JF kwa sababu angalau hao vijana tunawaona wawili watatu kina Kigwangwallah, Mnyika, Zitto wanakuja.
Wazee hatuwaoni kabisaaa.
Sasa point ya kusema vijana hawaji ni nini?
Kong'oli ndio nini? Hebu acha kuleta lugha za kwenye maigizo hapa jf. Bora William tunajua ni mnene kuliko wewe unayejificha na hiyo id huenda upo Kama Mzee wa gombeHapa ni mahali pa kupoteza wakati si pa wanasiasa na viongozi kukaa na kuwa mateja ya JF.
Wewe William ni Potato coach hata mwili wako unaonesha ni mtu uunaeweza kukaa kwenye lap top yako kutwa nzima.
Hoja na shughuli wazijibu hukohuko, hapa wawaachie magwanda na sisi tunatosha kuwa kong'oli.
Wako tayari wakose hata posho kuliko kuja hapa JF wanaona Kama ni kikaango wanataka sehemu za kusifiwa Kama FB si unakumbuka tokea kigwagallah aje hapa akachanwa hajawahi kuonekana tena!!!!!Naunga mkono..
ingependeza zaidi kuona jinsi wanavyojitetea au jinsi wanavyotoa na kupokea maoni..
mara nyingi na majibu mengi hapa JF ni mambo ya ku "guess" ingependeza kama wao
wangetupa ukweli wa mambo. waache uogo hakuna mtu anaekula watu hapa. na huu
ni mtandao tu ... KARIBUNI JAMII FORUM.
Precise pangolinWako tayari wakose hata posho kuliko kuja hapa JF wanaona Kama ni kikaango wanataka sehemu za kusifiwa Kama FB si unakumbuka tokea kigwagallah aje hapa akachanwa hajawahi kuonekana tena!!!!!
Hapana,
Ulichofanya hapa ni kitu kinaitwa "age discrimination". Ume discriminate wazee ambao wengine tunawaheshimu sana. Habari ya wajibu wa wabunge kuwa karibu na wananchi wao, na kuja kutoa vipande hapa JF, ni ya wabunge wote. Sasa kwa nini wewe ufanye hii ni habari inayowahusu wabunge vijana tu? Unamaanisha kwamba hutegemei wazee waweze kuja hapa, na wala huwashikii bango. Una wa discriminate. Unatuonyesha kwamba akilini mwako unafikiri kwamba wazee hawawezi na hata hawafai kufuatiliwa kwa hili.
Hii age discrimination haina tofauti na gender discrimination au racial discrimination.
Ungesema hapa "wabunge wanawake hamji hapa JF" tungeona mlipuko wa watu kusema kwamba unaleta gender discrimination.
Sasa umesema vijana, watu hawako sensitive sana na age discrimination lakini mii naiona.
Acha kubagua wabunge kwa dini, kabila, jinsia au umri. Hizi zote ni discrimination tu.
- Siku zote nina heshima sana na hoja zako, ni muhimu sana wakaja hapa na kupangua hoja maana zingine ni jibu moja tu na thread inakwisha, kuhusu mwili wangu dont worry Mungu hatoi mzigo bila kukupa mabega ya kuubeba! ha! ha! ha! ha! I mean bado nina-enjoy Organic to the fullest, maana kule majuu ilikuwa frozen food kama magazeti tasteless, mambo hapa kikuku cha kienyeji super sana, ha! ha! ha! halafu sambusa na maandazi, na vitumbuwa saafi sana so haina shida bro!
- Wabunge waje hapa wajibu hoja, itasaidia sana kupunguza kelele hapa!
William.