Wabunge Vijana Wa CCM: Tafadhalini Sana!

Kiranga,

Najuwa utakuwa mbunge mzeee!!!!!
Usiogope, hata wew uje kujibu hoja!!! Unajiskiaje watu kama Membe, Lowasa, Wassira, Lukuvi wakija kujibu hoja ??? Will be so funny and constructive for future Tanzania we want......
 
Precise pangolin
hakuna mtu anae ishi kwa kusifiwa tu dunia hii..

mtu huwa anaogopa kama kweli amefanya kosa. kama huna kosa unaogopa nini?
wenyewe kama viongozi wanatakiwa wawe tayari kutetea Chama Chao "CCM" na pia
kutetea nafsi zao. haina maana ya kuwa kiongozi kama unaogopa comment za watu.
angalia Mkuu W. J. Malecela kila mara anapondwa hapa jamvini bado anarudi na kutetea
au kusimamia anacho amini... kwa hilo nampa pongezi.
Ha! Ha! Ha! Ha!!(w.j. Malecela ) namsifu huwa anabeba Matusi yanayoenda kwa wazazi wake
 
Kiranga,

Najuwa utakuwa mbunge mzeee!!!!!
Usiogope, hata wew uje kujibu hoja!!! Unajiskiaje watu kama Membe,
Lowasa, Wassira, Lukuvi wakija kujibu hoja ??? Will be so funny and
constructive for future Tanzania we want......

hivi mbunge kijana au mzee akija hapa na ID feki tutamjua?
 
Ha! Ha! Ha! Ha!!(w.j. Malecela ) namsifu huwa anabeba Matusi yanayoenda kwa wazazi wake
Precise pangolin

Hii ndo JF bana hamna dogo..
unatakiwa kuwa na msimamo thabiti kuwa hapa..
hao vijana wenzie viongozi "CCM" hawana mbavu hizo za kuja hapa..
Ila wao kama viongozi ingependeza kama wangeonyesha hakuna wanaloficha au kuogopa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hapana,

Ulichofanya hapa ni kitu kinaitwa "age discrimination". Ume discriminate wazee ambao wengine tunawaheshimu sana. Habari ya wajibu wa wabunge kuwa karibu na wananchi wao, na kuja kutoa vipande hapa JF, ni ya wabunge wote. Sasa kwa nini wewe ufanye hii ni habari inayowahusu wabunge vijana tu? Unamaanisha kwamba hutegemei wazee waweze kuja hapa, na wala huwashikii bango. Una wa discriminate. Unatuonyesha kwamba akilini mwako unafikiri kwamba wazee hawawezi na hata hawafai kufuatiliwa kwa hili.

Hii age discrimination haina tofauti na gender discrimination au racial discrimination.

Ungesema hapa "wabunge wanawake hamji hapa JF" tungeona mlipuko wa watu kusema kwamba unaleta gender discrimination.

Sasa umesema vijana, watu hawako sensitive sana na age discrimination lakini mii naiona.

Acha kubagua wabunge kwa dini, kabila, jinsia au umri. Hizi zote ni discrimination tu.

Mkuu huu uwanja unaonekana ni wa vijana na kwa hakika vijana wengi ndio wako humu; sisi wazee ni wachache mno humu ndani. Hivyo si vibaya William kuwakaribisha vijana wa CCM waje hapa tutupiane madongo, tufundane na tupelekane jandoni kisiasa.

JF ni tanuru la kisiasa; vijana wa CCM: Makamba, Serukamba, Mary Mwanjelwa, Makala, Masele, nk jihudhurisheni humu tanuruni. Naona siku hizi Nape amekimbia tena naye arudi kwenye jukwaa hili huru.
 
- Haya ni maneno yako, siwezi kuwaa-address wabunge ambao sijajadili nao ishu ya JF, so far nimekwua nikijadili JF na wabunge Vijana tu, hayo mengine ni yako ila for me nia na madhumuni ilikuwa ni kuwalenga Wabunge Vijana na wewe unaweza kufungua Thread ya Wabunge wazee iwapo utapata nafasi ya kujaidli nao JF kama ninavyofanya kila wakati na Wabunge vijana!

- I mean na will not answer tena maana nitatoka kwenye focus ya this subject, lakini hope somo limeleweka!

William.

Hapa ndipo unapothibitisha kabisa kwamba umefanya "age discrimination".
 
Kiranga, sioni kama una point yeyote kwa kusema kwanini vijana na siyo wazee, hata unaposema angealika wazee huoini pia na wewe unaingia kwenye kitu kile kile unachokipinga?, tofauti yake ni sababu tu mnazotumia. Mimi sioni ubaya na kama Willy alivyokushauri wewe unaweza kuanzisha thread ya wazee au ya wabunge wote kabisa, ili hii uache watu waendelee na mada iliyopo.

Discrimination is a very broad term halina mipaka hata kama angeanzisha thread ya wabunge wote ungesema kwa nini asianzishe ya watanzania wote?

Angesema wabunge wazee hawaji hapa JF openly angalau angeweza kusema kwamba kuna wabunge watatu wanne vijana wanakuja openly.

Angeanzisha thread ya wabunge wote asingeweza kusema watanzania hawaji JF kwa sababu wanakuja kwa wingi.

Kuna watu wana deep rooted discrimination ambayo inawezekana hata wao wenyewe hawaijui vizuri mpaka waelezwe kwa kina.

William anaonekana anabagua wazee.
 
Kiranga,

Najuwa utakuwa mbunge mzeee!!!!!
Usiogope, hata wew uje kujibu hoja!!! Unajiskiaje watu kama Membe, Lowasa, Wassira, Lukuvi wakija kujibu hoja ??? Will be so funny and constructive for future Tanzania we want......

Mie mbunge mzee wa vijana katika bunge la JF, kwa hiyo lazima nikatae kubaguliwa wabunge wenzangu wazee kikwelikweli.

Yani William anaona si sawa kwa wabunge vijana kukosekana hapa, wazee wakikosekana sawa tu?

Hiyo haki kweli?
 
Mkuu huu uwanja unaonekana ni wa vijana na kwa hakika vijana wengi ndio wako humu; sisi wazee ni wachache mno humu ndani. Hivyo si vibaya William kuwakaribisha vijana wa CCM waje hapa tutupiane madongo, tufundane na tupelekane jandoni kisiasa.

JF ni tanuru la kisiasa; vijana wa CCM: Makamba, Serukamba, Mary Mwanjelwa, Makala, Masele, nk jihudhurisheni humu tanuruni. Naona siku hizi Nape amekimbia tena naye arudi kwenye jukwaa hili huru.

Sasa kama uwanja umejaa vijana na wazee hawaonekani mi ningemuona William ana hoja ya nguvu zaidi angetaka kuleta balance kwa kuwataka wazee nao wajitokeze.

Kama alivyosema yeye mwenyewe ana hoja yake binafsi ambayo hajaitaja.

Kama ana nia kweli wabunge wajitokeze hapa aanze kumleta mama yake wa kambo atujuze anasimama wapi katika masuala mbalimbali.

Charity begins at home. Wewe mtu mama yako mbunge, hujamshikia bango mama yako unataka kuwashikia bango wabunge vijana ambao hata huwajui vizuri kama mama yako.

Kama si unafiki ni kitu gani?
 
Leo umenena agwe bulai...........kaka Wile nikuhulika

Nitarudi...............
 
Mkuu william, sio wabunge peke yao,hata mawaziri tunawahitaji sana!mtawala asiyependa challenge sio mtawala mzuri,kuna uzi niliusoma huku kuhusu maswala ya reli,na bandari,hivi majuzi nikamsikia mheshimiwa Mwakyembe anaongelea!huku JF kuna issue za maana sana ambazo kama watawala watakubali kufanyia kazi walau tunaweza kusonga mbele!

Tunataka kuona nchi inasonga mbele na tunaondokana na lindi la umasikini linalotutawala nchi tajiri kama hii!
 
Last edited by a moderator:
Papa u are right. Lakini hujui huo ubunge wameupateje zaidi ya kuiba na kuvamia fani kama jamaa kule ------ walivyomweka badala ya kuchaguliwa na wananchi. Nao wanaogopa kwa hilo hawana kitu
 
Mnaobishania uzee na ujana kaanzisheni thread zenu hii imesimama kwa wabunge vijana wa ccm.
Mkuu Le mutuz achana nao.
@Noti Mpya.
 

- JAMANI WABUNGE VIJANA WA CCM MPO KWENYE SIASA SAWA NA
BIASHARA YA UTUMBO SASA MSIOGOPE HARUFU, NJOONI HAPA TUMKOME NYANI, HUU SIO UWANJA WA CHADEMA NI UWANJA HURU WA KILA MWANANCHI KUSEMA MAONI YAKE NA NYINYI NI VIONGOZI WA HAWA HAWA WANANCHI, NJOONI HAPA KAMA MLIVYO MJIBU HOJA NA MUWEKE HOJA, MCHAMBULIWE TUONE KAMA KWELI MNA HOJA!


- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!


William.

:biggrin1: hapo juu hiyo nimeipenda..tatizo bwana william viongozi wengi au niseme watanzania wengi wanaogopa criticism....ukishakua kwenye public eye uwe tayari kua criticised hiyo ni part n parcel ya kua mwanasiasa... na nina uhakika ur collegues wako sana hapa but wanatumia majina fake....

hii forum sio ya CHADEMA ila ni kwamba majority ya watu hapa are fed up with CCM...wote wanakaribishwa mwambie mpaka KIKWETE na yeye aje tuchambue maswala ya kisiasa wote...
 
Mnaobishania uzee na ujana kaanzisheni thread zenu hii imesimama kwa wabunge vijana wa ccm.
Mkuu Le mutuz achana nao.
@Noti Mpya.

Kama unashindwa kuuona unafiki huu wa mtu kumuexcuse mama yake wa kambo na kuwashikia bango wabunge wengine, siwezi kukusaidia. Mbunge ni mbunge tu. Hii habari ya vijana na wazee changa la macho.

Tumuulize Mama Kilango Malecela yuko wapi, mbona haonekani humu naye?
 
Leo umetuletea jambo zuri sana kuhusiana na Mustakabali wa nchi yetu! Ni kweli na ni muhimu sana kwa viongozi kujiweka karibu na wananchi. Sio tu itawasaidia wananchi kupelela na kupata majibu ya maswala mbalimbali lakini itawasaidia kufunguka na kuonesha kiongozi huyu anapochemsha hivyo kumpa nafasi ya kujijua na ikiwezekana kujirekebisha. Itasaidia kumpa kiongozi nafasi ya kuwahamasi w/nchi, kuwapa taarifa ya mambo mbalimbali aliyofanya/anayotaka kufanya na hata kuomba kura. Kwa mtazamo huo, JF ni mahali pazuri kwa viongozi na kimsingi walitakiwa wawe wamejiunga karibu wote.
Labda hao wa ccm wanashindwa kujiunga hasa kwa majina yao halisi maana Chiligati alisema waziwazi kuwa Jf ni mtandao hatari sana kwa chama chao. Inawezekana hili ndio tatizo!!
 
Hao wabunge vijana wa CCM hawawezi tia mguu hapa,wametanguliza matumbo yao.
 
Kaka William......if we get to the base of this topic

1. Kwa nini haswa unataka waje?
2. Wanakosa nini mpaka wewe unadhani ni muhimu kwao kuja huku?
3..Unasema umeshaongea nao na utaongea nao tena........hoja ya wao kutokuja ni ipi huko mnakoongea?
4. Na kama kuna kitu wanakikosa humu unadhani hakuna njia mbadala ya kukipata?
5. Wewe umekua humu kwa muda sasa you know the width and depth........can they stand???? Hapa ni kama Nungwi mkuu......divers gotta be skilled and weell equiped, else you might loose both!!!!!!!!!!!!!!
6. Hao Watanzania hawaishi hewani.....wanajua kuhusu this furnace.......why dont they care to come with real names?
7. Political culture ya huko walikolelewa in the due process of socialization hii ilikuwa ni ajenda????
8. Wako tayari kwa badiliko unalopendekeza na matokeo yake???

Mytake; Naunga mkono hoja ila maswali ya hapo juu kama hutayajibu then mkutano wako na hao vijana wenzetu uwaulize kwa niaba kaka na majibu utuwasilishie tafadhali.

I beleieve wanajua wanalolifanya, sababu wanazo, nia wanayo na uwezo pia wa kusimamia wanayoyafanya wanao...............
 
Back
Top Bottom