Wabunge muondoeni spika

Wabunge muondoeni spika

Huyu spika hafai na analiburuza bunge ili kuibeba serikali.

Ni kwanini ameahirisha bunge wakati muda bado upo mara baada ya Muhongo kuongea?

Huyu mama ana agenda ya siri.
Anazo akili nyingi mno, walaakin kukosa busara kwake na Ujinga wa kudhani ati ukieka usawa/gender ndo mafanikio na matarajio ya wananchi.

Muda wao ulikuwa bado kwa nchi kama hini kupawa majukumu makubwa mfano wa hayo alonayo hoyo Mbibi.
 
wabunge wanapewa muda waka jiandae ukizingatia ripoti ya muhongo hawaja pewa sasa mtu aanze kuchangia tu bila kupitia hoja zote mbili?[/QUOTE

Wabunge juzi walipewa ripoti ya PAC kabla Zitto hajaanza kuongea kulikua na sababu gani ya kusubiri mpaka Muongo amalize kuongea ndo wabunge wapewe ripoti yote hii kupoteza muda bila sababu za msingi

Kete ya mwisho kwa wabunge ni kwamba atakayepata nafasi ya kwanza kuchangia atutajie akaunti na pesa walizopokea hao ambao ZZK kasema orodha amewapa wabunge na atutajie mwenye share 50% kwenye kampuni ya Simba trust!
 
hatariiiiii ndiyo maana aliitwa aje kunusuru serikali kuvunjwa mbona ishafahamika kua Ndugai hatoongoza hadi suala hili liishe. Loading......
 
Back
Top Bottom