wabunge wanapewa muda waka jiandae ukizingatia ripoti ya muhongo hawaja pewa sasa mtu aanze kuchangia tu bila kupitia hoja zote mbili?[/QUOTE
Wabunge juzi walipewa ripoti ya PAC kabla Zitto hajaanza kuongea kulikua na sababu gani ya kusubiri mpaka Muongo amalize kuongea ndo wabunge wapewe ripoti yote hii kupoteza muda bila sababu za msingi
jioni atapewa nafasi naibu waziri wa nishati wa madini kwa muda wa saa 1 na nusu, baada ya hapo bunge litaahirishwa mpaka kesho, na kesho mkutano wa bunge utahairishwa, makinda amedhamiria kuilinda serikali hii ya mafisadi!
Sio za umma!kwamaelezo ya waziri husika na kauli ya serekali
Huyu spika hafai na analiburuza bunge ili kuibeba serikali.
Ni kwanini ameahirisha bunge wakati muda bado upo mara baada ya Muhongo kuongea?
Huyu mama ana agenda ya siri.
wabunge wanapewa muda waka jiandae ukizingatia ripoti ya muhongo hawaja pewa sasa mtu aanze kuchangia tu bila kupitia hoja zote mbili?[/QUOTE
Wabunge juzi walipewa ripoti ya PAC kabla Zitto hajaanza kuongea kulikua na sababu gani ya kusubiri mpaka Muongo amalize kuongea ndo wabunge wapewe ripoti yote hii kupoteza muda bila sababu za msingi
Hiyo mi hainihusu cha msingi jua spika kaahirisha bunge coz wabunge wapate kupitia na ripoti ya muhongo ili wakichangia watoe arguements za maana..that'z all haya mambo mazito hayataki papara.
.Sijui nini kimetokea! ukweli ni upi? pesa ni za Umma au si za Umma?
Wabunge nao wamekuwa legelege!!
Ni za umma kwa sababu ziliwekwa pale na shirika la umma na zilitakiwa zilipwe kwa mdai husika ili pasiwe na madai mara mgogoro husika utakapoisha.