wabunge mnaolala bungeni

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
nyie ni matakataka mliodanganya wapiga kura maskini!ovyoo,mnafikiri huo mshahara utawapeleka wapi?????????????
 
halfu wote sasa ni CCM halafu haohao wakiskia posho inaongelewa wanaamka na kupinga vikali ..

Dah hii kweli kiboko ila ndo mjionee majabu ya nane hayo ya dunia
 
1.jpg una cheki hiyo tafakari makini
 
Mbunge anaposinzia bungeni ni sawa na jimbo analowakilisha kusinzia mjengoni! Kazi kweli kweli!
 
Hao wanadhihirisha wazi kwamba walichokifata mjengoni ni njuluku tu wala hawana uchungu na wapiga kura wao. Inakera kuyapa mamtu dhamana alafu yanaenda kuwa 'unsound mind.' Hayo ndo mafisadi ya kuogopwa kuliko hata kina lowassa. Yaani ni mazezeta kweli hayana hata hoja wala mchango wowote ndo kwanza yanazidi tu kuwapa nguvu mafisadi kila siku wanaongezeka!! Natamani hata niwe nawakoa makwenzi, waone..... Hawa wakija kuomba kura tena, wapigwe mawe!!!
 
halfu wote sasa ni CCM halafu haohao wakiskia posho inaongelewa wanaamka na kupinga vikali ..Dah hii kweli kiboko ila ndo mjionee majabu ya nane hayo ya dunia
Kweli kabisa mkuu ni kupinga kwa nguvu zote.
 
Swala la mbunge kulala wakati wa vikao vya bunge vikiendelea ni usaliti kwa watanzania wanamlipia kodi na kwa serikali iliyo makini ilitakiwa kumwajibisha hata ajiuzuli ili kutoa nafasi kwa wengine kuwa makini wakati wa mjadala,tena huyu ni mheshimiwa waziri wa serikali na anatoa majibu ya kitoto kwa vyombo vya habari kuwa kumpiga picha ni kuleta vurugu sasa ukijiuliza kweli huyu naye ni waziri kweli? Kuna mwingine naye alilala akina na bosi wake JK huko kwa nchi za watu Je kweli rais wetu anawaona au? Mimi nashauri tu wakati wa mapitio ya katiba tuyakumbuke haya ili tusiwe na mawaziri vilaza ambao wanatumia hela zetu bila kufanya chochote ktk jamii yetu.
Yaani kwenye katiba lazima tuweke wazi kuwa waziri lazima awe ana fani inayoendana na wizara husika pia asiwe anateuliwa na rais moja kwa moja
 
halfu wote sasa ni CCM halafu haohao wakiskia posho inaongelewa wanaamka na kupinga vikali ..Dah hii kweli kiboko ila ndo mjionee majabu ya nane hayo ya dunia
Siunajua kipindi cha mkutano mjengoni makaba wote nchi nzima wanahamia Dom, usiku kucha wanawaliza haya majamaa... Kinafofuata mchana bungeni?Imeandikwa ole wao waubadilishao usiku kuwa mchana, na azinie na mwanamke hana akili kbs (asie mkewe lakini).Jiulize ni nini hasa kinawafanya hawa majamaa kila siku wanalala bungeni kama si kutokulala usiku? Na tunajua kuwa asilimia kubwa hawaendi na wake zao!, inatisha! Na kwa style hi maendeleo mtakuwa mnayasikilizia kwa wenzenu tu.
 
acha kuwasumbua 'waungwana' hawa, wameshakwambia ukweli kama hukusikia check hii 'ngoma' ya kp!!!
nyie ni matakataka mliodanganya wapiga kura maskini!ovyoo,mnafikiri huo mshahara utawapeleka wapi?????????????
 

Attachments

  • Untitled-1.jpg
    Untitled-1.jpg
    78.4 KB · Views: 55
Lakini huwezi jua pengine wanakuwa wamechoka sana kutokana na kudance kwenye disko.
 
Back
Top Bottom