Inakuwaje mtunga sheria ambaye ni muhimili wa nguzo ya serikali anawekwa kolokoloni.
Kitendo cha kuwaweka wabunge kolokoloni ni lazima kilaaniwe na hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa viongozi waliosaini arrest warrant, Kwanza washitakiwe kwa kuvuka mipaka yao kisheria pili hata wale waliompiga mbunge wawajibishwe. Kama Serikali hawawezi kuona demokrasi inafanyika hatuwezi kukaa kimya na kuwaangalia.
Askari polisi hawana mamlaka ya kiutendaji i.e. be above the legislators, Je, office ya Bunge waliarifiwa kuhusu hilo na kama hapana ni kwa nini? Je, rais Mwizi aliambiwa kwamba kuna wabunge wako ndani? Kama aliambiwa alichujua hatua gani? Natumaini sasa ni wakatu mazuri sana wa kufanya mambo vile inavyotakiwa na kama sivyo itakuwa sokombino nchi nzima.
Oyii guys msiwe mna quote hizo post ndefu bana sisi wengine watumia simu tunapata tabu sana kusoma kila kitu na kurudia rudia....zaidi nawakilisha na sisi ndio jamiiforums hamna kulala mpaka kieleweke.....
Tanzania Usipokuwa CCM huwezi kuheshimiwa kamwe!
Sina muda wa kulinganisha elimu yangu na mtu ambaye hajui tofauti kati ya L na R.....watu wengine bana mnaongea pumba nyingi mnalizika na haya maisha???acha hizo wewe
Wewe ni miongoni mwa wanasheria uchwara wa kile chama chenu wanaopotosha mambo huku JF.
Nani kakuambia kuwa Mbunge akifanya uhalifu hawezi kukamatwa na kushtakiwa?
Unaonekana una akili finyu kama mmojawapo wa wabunge wako ambaye haachi kupata mkong'oto wa kujitakia.
Rudi kasome, achana na kijiwe chako cha cdm kilichojaa kudanganyana.
Inakuwaje mtunga sheria ambaye ni muhimili wa nguzo ya serikali anawekwa kolokoloni.
Kitendo cha kuwaweka wabunge kolokoloni ni lazima kilaaniwe na hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa viongozi waliosaini arrest warrant, Kwanza washitakiwe kwa kuvuka mipaka yao kisheria pili hata wale waliompiga mbunge wawajibishwe. Kama Serikali hawawezi kuona demokrasi inafanyika hatuwezi kukaa kimya na kuwaangalia.
Askari polisi hawana mamlaka ya kiutendaji i.e. be above the legislators, Je, office ya Bunge waliarifiwa kuhusu hilo na kama hapana ni kwa nini? Je, rais Mwizi aliambiwa kwamba kuna wabunge wako ndani? Kama aliambiwa alichujua hatua gani? Natumaini sasa ni wakati mzuri sana wa kufanya mambo vile inavyotakiwa na kama sivyo itakuwa sokombino nchi nzima.