Wabunge kuwekwa ndani

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,682
8,233
Inakuwaje mtunga sheria ambaye ni muhimili wa nguzo ya serikali anawekwa kolokoloni.

Kitendo cha kuwaweka wabunge kolokoloni ni lazima kilaaniwe na hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa viongozi waliosaini arrest warrant, Kwanza washitakiwe kwa kuvuka mipaka yao kisheria pili hata wale waliompiga mbunge wawajibishwe. Kama Serikali hawawezi kuona demokrasi inafanyika hatuwezi kukaa kimya na kuwaangalia.

Askari polisi hawana mamlaka ya kiutendaji i.e. be above the legislators, Je, office ya Bunge waliarifiwa kuhusu hilo na kama hapana ni kwa nini? Je, rais Mwizi aliambiwa kwamba kuna wabunge wako ndani? Kama aliambiwa alichujua hatua gani? Natumaini sasa ni wakati mzuri sana wa kufanya mambo vile inavyotakiwa na kama sivyo itakuwa sokombino nchi nzima.
 
Askari polisi hawana mamlaka ya kiutendaji i.e. be above the legislators, Je, office ya Bunge waliarifiwa kuhusu hilo na kama hapana ni kwa nini? Je, rais Mwizi aliambiwa kwamba kuna wabunge wako ndani? Kama aliambiwa alichujua hatua gani? Natumaini sasa ni wakatu mazuri sana wa kufanya mambo vile inavyotakiwa na kama sivyo itakuwa sokombino nchi nzima.

Wewe ni miongoni mwa wanasheria uchwara wa kile chama chenu wanaopotosha mambo huku JF.

Nani kakuambia kuwa Mbunge akifanya uhalifu hawezi kukamatwa na kushtakiwa?

Unaonekana una akili finyu kama mmojawapo wa wabunge wako ambaye haachi kupata mkong'oto wa kujitakia.

Rudi kasome, achana na kijiwe chako cha cdm kilichojaa kudanganyana.
 
Oyii guys msiwe mna quote hizo post ndefu bana sisi wengine watumia simu tunapata tabu sana kusoma kila kitu na kurudia rudia....zaidi nawakilisha na sisi ndio jamiiforums hamna kulala mpaka kieleweke.....
 
KISHONGO wewe na chama chako cha mafisadi mmesoma...unakaa kwenye hiyo office wakati binadamu kama wewe wanakufa huko vijijini alafu unaongea pumba........watu wengine bana mnaongea pumba nyingi mnalizika na haya maisha???acha hizo wewe
 
Oyii guys msiwe mna quote hizo post ndefu bana sisi wengine watumia simu tunapata tabu sana kusoma kila kitu na kurudia rudia....zaidi nawakilisha na sisi ndio jamiiforums hamna kulala mpaka kieleweke.....

Da bora umewaambia aisee!
 
....watu wengine bana mnaongea pumba nyingi mnalizika na haya maisha???acha hizo wewe[/QUOTE]

Sina muda wa kulinganisha elimu yangu na mtu ambaye hajui tofauti kati ya L na R.

Rudi shule.
 
....watu wengine bana mnaongea pumba nyingi mnalizika na haya maisha???acha hizo wewe
Sina muda wa kulinganisha elimu yangu na mtu ambaye hajui tofauti kati ya L na R.

Rudi shule.[/QUOTE]

Jadilini issues acheni mambo yasiyo na tija hayo
 
Wewe ni miongoni mwa wanasheria uchwara wa kile chama chenu wanaopotosha mambo huku JF.

Nani kakuambia kuwa Mbunge akifanya uhalifu hawezi kukamatwa na kushtakiwa?

Unaonekana una akili finyu kama mmojawapo wa wabunge wako ambaye haachi kupata mkong'oto wa kujitakia.

Rudi kasome, achana na kijiwe chako cha cdm kilichojaa kudanganyana.

Ni kweli kabisa, waeleweshe wasio jua aisee !
 
Wachaguliwa na wananchi hasa wabunge kabla ya kutiwa hatiani chombo cha juu kinachowalinda huarifuwa. Hii ndio sheria na kinga ya wabunge. Je, polisi walifanya hivyo?
 
Tanzania bila wasaliti, wapumbavu na wendawazimu kama kishingo, zipuwawa na F***ken boy (ge**boy) inawezekana.
 
kweli mwenye nacho hataki kujua cha asiye nacho. sijui tajiri m1 katikati ya masikini 100 anakuwa na usalama gani. nguvu wanayotumia hufika mwisho. huu ni mwisho wa mambo yasiyo na tija kwa taifa.
Tanzania bila mafisadi inawezekana
 
Naomba wazee wa ma-technology waniwekee filter nisikione hiki kirus kishongo kwenye sceen yangu!!!
 
Kishongo kwa kihaya manake ni makengeza,kweli we makengeza! Ujui kuwa kuna kinga ya mbunge?eti unajua sheria?sheria gani ujinga ujinga mara bil185 za RA.
 
Inakuwaje mtunga sheria ambaye ni muhimili wa nguzo ya serikali anawekwa kolokoloni.

Kitendo cha kuwaweka wabunge kolokoloni ni lazima kilaaniwe na hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa viongozi waliosaini arrest warrant, Kwanza washitakiwe kwa kuvuka mipaka yao kisheria pili hata wale waliompiga mbunge wawajibishwe. Kama Serikali hawawezi kuona demokrasi inafanyika hatuwezi kukaa kimya na kuwaangalia.

Askari polisi hawana mamlaka ya kiutendaji i.e. be above the legislators, Je, office ya Bunge waliarifiwa kuhusu hilo na kama hapana ni kwa nini? Je, rais Mwizi aliambiwa kwamba kuna wabunge wako ndani? Kama aliambiwa alichujua hatua gani? Natumaini sasa ni wakati mzuri sana wa kufanya mambo vile inavyotakiwa na kama sivyo itakuwa sokombino nchi nzima.

Hata hii katiba mbovu bado wameikiuka kwa kumpiga mbunge ambaye kikatiba ana kinga.
Ni jambo lisiloweza kuingia akilini kuona wabunge kutoka vyama vya upinzani wakinyanyaswa utadhani wahaini.
Tukumbuke aliyekuwa mgambea ubunge wa ccm Maswa Bw. Robert Kisena alivyomtandika vibao OCD na kumpiga ngwara lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa. Lema angempiga polisi ambaye hana hata rank yoyote nadhani tungekwisha mzika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom