Wabunge Kesho Kumpongeza Sitta

Wabunge Kesho Kumpongeza Sitta

Ni jambo la kushangaza kufanya sherehe wakati kuna majonzi ya watanzania wenzetu kupoteza maisha na wengi kujeruhiwa Hivi kweli hawa wabunge wapo kwa ajili ya wananchi au kwa maslahi yao?
 
Spika Wa Bunge Mama Anna Makinda akihitimisha kikao cha leo cha Bunge ametangaza kuwa kesho 21.06.2013 baada ya kipindi cha maswali na majibu Bunge litaangusha sherehe kubwa sana ya kumpongeza Mh. Sitta kwa kuliongoza Bunge la 9 kwa ufanisi mkubwa!

Wanajamvi;
Kweli tangazo hilo limeniacha mdomo wazi. Hayo ndiyo matumizi sahihi ya kodi zetu kweli?...kufanya starehe na Tafrija za Unafiki?

Kama Spika Sita alifanya kazi inayostahili kupongezwa, mbona aliondolewa kwa mizengwe, aibu na kejeli vile?
Nisaidieni.
wamegundua kwamba Sita anapenda sana Madaraka,ni rahisi kukaa kimywa ili mradi asifiwe hata kama sifa ni za kumkejeli. kama ni kupongezwa angepongezwa na vyama vya upinzani, kwani wabunge wa ccm ndio waliotoa kwenye uspika,Sita analijua hilo lakini kwa kuwa ni mtu wa kupenda kusifiwa anaona ni sawa kusifiwa na wasaliti wake,ila hii ni Mungu anabainisha ujinga wa ccm,ikifika 2013 hata wale wagumu wa kuelewa watakuwa wameelewa ujinga na fitina za ccm
 
SITA ni zezeta. Linaburuzwa kama taahira.
Kwahili nakubaliana na wewe!
Malengo yake ya 2015 yanamfanya awe mburula.
Halafu mtu wa dizaini hiyo achukue urais, na raia mtegemee mabadiliko- over my dead body!
 
Nimeamini Chadema ndo tumaini jipya la watanzania! Baada ya wabunge wa chadema kuondoka bungeni. Wabunge walanguzi wa ccm wamebaki kuitumikia serikali na si wananchi! Hiyo siyo sherehe ya kumpongeza sitta, ni sherehe ya kumpongeza mwigulu kwa kufanikisha mauaji huko Arusha!
 
Mh Sitta, waTZ watakushangaa sana kama kweli utakubali hili. Wabunge mtampongezaje miaka mitatu baadaye wakati mlimkataa asiendelee kuongoza bunge lenu! Jamani acheni utani... tuna mengi muhimu zaidi ya utani hu.
 
Baada ya tangazo hilo, mpiga kamera akamlenga yeye, naye bila kusita aka'display tabasamu la kinafiki!
Sitta tunajua kabisa kwamba una lako la moyoni, kwanini usiwakatalie hawa wanafiki wenzako right in daylight?
Unaenda kushirikiana nao kusherekea maumivu yako?
Have you reconsidered this?
 
HIYO SIYO KWELI NA HAPA NDIPO WATANZANIA MTAJUA KUWA HATA SITTA NI MWENZAO TU! WATU HAWA WANASHEREHEKEA KUMWAGIKA KWA DAMU ZA WATANGANYIKA ARUSHA NA KUFANIKISHA MAUAJI YA ARUSHA, WANAPONGEZANA!!!!, HAINGII AKILINI WATU HAWA HAKUNA HATA MMOJA ALIEGUSWA, HATA BUNGE HALIKUAHIRISWA, WANASHANGILIA DAMU YA WATOTO WA WANANCHI WALIOKUFA BILA HATIA, LAKINI WANGEKUFA DAMU YA WENYE NCHI TUNGESHUHUDIA AKINA KAMUHANDA WAKIFUKUZWA KAZI. mUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI............., AMEN.

Spika Wa Bunge Mama Anna Makinda akihitimisha kikao cha leo cha Bunge ametangaza kuwa kesho 21.06.2013 baada ya kipindi cha maswali na majibu Bunge litaangusha sherehe kubwa sana ya kumpongeza Mh. Sitta kwa kuliongoza Bunge la 9 kwa ufanisi mkubwa!

Wanajamvi;
Kweli tangazo hilo limeniacha mdomo wazi. Hayo ndiyo matumizi sahihi ya kodi zetu kweli?...kufanya starehe na Tafrija za Unafiki?

Kama Spika Sita alifanya kazi inayostahili kupongezwa, mbona aliondolewa kwa mizengwe, aibu na kejeli vile?
Nisaidieni.
 
Halafu wanasisitizwa kabisa waende na Partnerz wao!
 
Back
Top Bottom