Ama kwa hakika ni jambo la kusikitisha kuona wawakilishi wa mwananchi ambao wanawezeshwa na mwananchi mwenyewe kufika walipo wanashindwa kuhudhuria makongamano mablimbali mkoani kagera yanayozungumzia kushuka kwa maendeleo ya mkoa.
Ulifanyika mdahalo ulioitishwa na mkuu wa mkoa FABIAN MASAWE katika ukumbi wa mkoa ukihusisha wadau mbalimbali wa Kagera, viongozi wote walifika lakini cha ajabu; hakuna mbunge hata mmmoja aliyeonekana.
Kasibante Redio ambayo ni ya mbunge flani mkoani kagera ikaandaa mdaharo mkuu wa mkoa na viongozi wengine wakashiriki mbunge hakuna, cha ajabu zaidi, miaka 50 ilisubiriwa kwa hamu lakini katika mkesha ndani ya uwanja wa mashujaa MAYUNGA hakuna mwanasiasa hata diwani eneo bwana MABRUK hakuonekana ni ajabu watateteaje wananchi wadau semeni wenyewe!