Wamekuwa kero kwelikweli kwetu. Wanaheshimiwa kuliko waheshimiwa wa chama na Serikali. Tunawajadili,hawajadiliki.Mipango dhidi yao tunaipanga,inapanguka. Kwakweli,ni kero hasa. Wanawaaminisha watanzania kuwa chama chao kinaweza kuwa na viongozi bora na wasemaji wazuri. Wanaanza kueleweka. Ni hawa:
Freeman Aikaeli Mbowe-Hai, Philemon Ndesamburo-Moshi Mjini,John John Mnyika-Ubungo, Vincent Nyerere-Musoma Mjini, Mchungaji Peter Msigwa-Iringa Mjini, Halima Mdee-Kawe, Godbless Jonathan Lema-Arusha Mjini, Joshua Nassari-Arumeru Mashariki, Tundu Lissu-Singida Mshariki, Ezekiel Wenje- Nyamagana, Joseph Mbilinyi-Mbeya Mjini, mwanangu Silinde wa Mbozi Magharibi na Joseph Selasini wa Rombo.
Amini nawaambia,Wabunge hawa ni kero kuu kwetu CCM na ni mtaji mkubwa wa CHADEMA kama sehemu ya UKAWA. Wana mizizi migumu majimboni mwao. Kuwang'oa yatubidi kuongeza nguvu. Ili wasimwage sumu yao Tanzania nzima.
Mapambano yanaendelea lakini!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Tundu Lissu-Singida Mshariki,
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Huyu ndio nasikia kijijini kwake CCM ni Chama cha Upinzani!!

Poleni mzee Tupatupa. Kwa nini hamjishughulishi na mpasuko wa chama chenu mnabaki kuweweseka na wabunge wa Chadema? Na mbona mnamruhusu Nape anaendelea kuwapotosha wanachama kuwa chama kimefanya vizuri uchaguzi huu ilihali pamoja na kupita kwa viti vingi kwa mapingamizi magumashi na kutumia mbinu chafu bado wamedrop sana?
Huku sio kuua chama kwa kutoa habari za kuwafanya wabweteke hali wanaangamia?
Wamekuwa kero kwelikweli kwetu. Wanaheshimiwa kuliko waheshimiwa wa chama na Serikali. Tunawajadili,hawajadiliki.Mipango dhidi yao tunaipanga,inapanguka. Kwakweli,ni kero hasa. Wanawaaminisha watanzania kuwa chama chao kinaweza kuwa na viongozi bora na wasemaji wazuri. Wanaanza kueleweka. Ni hawa:
Freeman Aikaeli Mbowe-Hai, Philemon Ndesamburo-Moshi Mjini,John John Mnyika-Ubungo, Vincent Nyerere-Musoma Mjini, Mchungaji Peter Msigwa-Iringa Mjini, Halima Mdee-Kawe, Godbless Jonathan Lema-Arusha Mjini, Joshua Nassari-Arumeru Mashariki, Tundu Lissu-Singida Mshariki, Ezekiel Wenje- Nyamagana, Joseph Mbilinyi-Mbeya Mjini, mwanangu Silinde wa Mbozi Magharibi na Joseph Selasini wa Rombo.
Amini nawaambia,Wabunge hawa ni kero kuu kwetu CCM na ni mtaji mkubwa wa CHADEMA kama sehemu ya UKAWA. Wana mizizi migumu majimboni mwao. Kuwang'oa yatubidi kuongeza nguvu. Ili wasimwage sumu yao Tanzania nzima.
Mapambano yanaendelea lakini!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
tunashuhulika ndio neno gani tena hilo? Kijana sii ungeenda shule kwanza haya mambo ya JF sii utayakuta tuu baadae? Kuandika hujui, kiswahili nacho pia majanga! Ila nyie vilaza ndio tumaini na turufu ya mwisho ya Magamba.tunashuhurika kwanza na huo mpasuko wa hapo nyuma kwako tukisha maliza ndo tutaendelea na mambo mengine