Sahihisho, mbunge wa Kigoma mjini anaitwa Peter Serukamba na siyo Peter Serugamba.
Kweli huyu jamaa harudi kabisa
Huyu aliyewaorodhesha akina Chenge,Lukuvi,Ndugai nk. amekusudia tu kusherehesha genge lakini ukweli ni kuwa hapo wengi tu watarudi;kwa akili yako unaweza kwenda Bariadi Magharibi na kushinda uchaguzi dhidi ya Chenge?au unaweza kumtoa Ndugai pale Mpwampwa?wakati mwingine ni vema watu mkue siyo kuandika tu vitu kishabiki
Chami hawezi kurudi Moshi v hata achanje chale mpaka kwenye ti.go.
Lema na sugu ni kama vile hawapo tuh bungeni,huko majimboni kwao ndio laana kila siku
wenje.
Tundulisu
mnyika.
Nassary
MSIGWA
KIWIA.
hao wameponzwa na dhambi mmoja tuu ya kuwa sehemu ya maamuzi ya kijuha na propaganda za kijinga zidi ya zitto na ikumbukwe kwamba hao wengi walipa ubunge kupitia jina la chadema na kupitia kupotea kwa umaarufu wa chadema mbele ya wananchi basi hao watapoteza majimbo.
WATU WATASHANGAA SANA MAANA 2015 CHADEMA BADALA YA KUONGEZA IDADI YA WABUNGE ITAPUNGUA.
WATALIA NA KUSAGA MENO.
TENA HAO WAKINA WENJE NDIO WALA WASIFIKIRI KABISA KUHUSU UBUNGE.[/QUO
bangeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wote wa ccmJambo wakuu,, uhai wabunge la kumi unelekea mwisho tumewasikia na kuwaona wabunge wetu unafikiri nani hastahili kurudi tena bunge lijalo!!?
Wote wa ccm
Unaposema majimbo yatakayoenda upinzani taja kwanza chama kitakachokuwa tawala October 2015 ili tujue sasa majimbo gani yanatakiwa yaende kwenye chama cha upinzani.Nasema hivo kwa sababu chama unachowaza wewe kama kitakuwa chama tawala kinaweza kikawa ndiyo chama cha upinzani October 2015 ama kile unachoona ni chama cha upinzani kinaweza kikawa ndiyo chama tawala kwa hiyo fafanua kwanza kabla hatujaanza kuchangiaTutaje hapa majimbo ambayo ungependa yaende upinzani mnamo October 2015.
Naanza na ---RORYA.