Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Status
Not open for further replies.

Atubela

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
749
Reaction score
854
Kutokana na hali inavyoendelea sasa kuna bahadhi ya wabunge wa upinzani wanaonekana dhairi hawatarudi tena katika bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ukimuondoa Mzee Ndesamburo ambae hatarudi kulingana na afya yake, lakini jimbo lake tayari lishaonekana kurudi CCM, kutokana na mtu wanaetegemea kumsimamisha kuwa hauziki, au kutokana na dini yake... (si unajua chama chetu)

1. Ezekiel Wenje

2. Highness Kiwia Huyu na Wenje waliupata ubunge kutokana na vita baridi iliokuwepo kati ya Masha na

3 Godbless Lema huyu Arusha ndio hawataki hata kumsikia akigombea hata udiwani

4 Mchungaji Msigwa Huyu nae aende akachunge kondoo wa Iringa, ukichukulia Chaguo lao lilikuwa Mwakalebela.

5 Joseph Mbilinyi

6 Tundu Lissu Huyu ndio Kabisaaa

7 John Mnyika Hili jimbo la huyu jamaa, mwenyewe Nape Nnauye

Jimbo la Shibuda anarudi nalo CCM na Makamu mwenyekiti wao Arfi kwakua hatagombea, jimbo lake linarudi CCM

Kama kuna wengine waweke lakini hawa wakirudi nipigwe ban ya maisha JF


Hii ni orodha ya wabunge ambao endapo watathubutu kugombea ubunge hawawezi kuchaguliwa kutoka na ku-perform chini ya kiwango labda kwa hila ndio wanaweza kushinda katika uchaguzi mkuu ujao.

Hawa ndio wenyewe:
1.Assumpter Mshana
2.Hawa Ghasia
3.John Cheyo
4.Augustine Mrema
5.John Shibuda
6.John Komba
7.Prof.Msolla
8.Steven Wassira
9.William Lukuvi
10.Samweli Sitta
11.Makongoro Mahanga
12.Abbas Mtemvu
13.Job Ndugai
14.Livingstone Lusinde
15.Richard Ndassa
16.Said Nkumba
17.Ezekiel Maige
18.Andrew Chenge
19.William Ngeleja
20.Mfutakamba
21.Adam Malima
22.Aden Rage
23.Suleiman Nchambi
24.Said Arfi
25.Pro.Juma Kapuya
26.Mathayo David
27.John Chiligati
28.Shukuru Kawambwa
29.Mulugo
30.Prof.Maghembe
31.Hamad Rashidi
32.Mama Sitta
33.Lucy Nkya
34.Godfrey Mgimwa
35.Emmanuel Nchimbi
36.Mathias Chikawe.
37.Fenera Mkongoro
38.Festus Limbu.
39.Nyambari Nyangwine
40.Nimrod Mkono(huyu kurudi au kutorudi ni 50 kwa 50)
41.Dr.Mwakyembe(huyu nae ni 50 kwa 50)
42.Dr.Peter Kafumu
43.Cellina Kombani.

Wabunge wengi wa CCM wa mikoa ya Mtwara na Morogoro hawatarudi bungeni.

Hao ni baadhi ambao naamini hawawezi rudi bungeni baada ya uchaguzi mkuu na baadhi yao wataishia kushindwa kwenye kura za maoni tu.

Natabiri uwezekano wa kulazimika kuwa na serikali ya mseto baada ya uchaguzi mkuu ingawa nadhani hili ni swala la kikatiba.

Yaliyotokea Zanzibar hayako mbali kutokea na huku bara.

Upinzani unakua kwa kasi ili hali CCM nayo inaporomoka kwa speed ya rocket.
 
Katika kizazi hiki kilicho na mwamko wa hali ya juu sana kote nchini, ni wabunge 17 ndio watakaorejea bungeni kama wabunge wa zamani; wengine wote wale wateteao chama badala ya umma wa Tanzania wao ni kwenda nyumbani kimoja.
 
Tuwekee vigezo ulivyotumia ambavyo vimepelekea wewe kufikia hitimisho lako...
 
Jitaje na wewe basi jimbo lako litachukuliwa na nani naona una machungu sana huna lingine la kuwaza?
 
Anza kujadili kwanza tutaondoaje umasikini kwa hawa raia wetu wanao ishi kwa Tsh 650 kwa siku na ni kwanini serikali ambayo imeaminiwa miaka 50 imeshindwa kutoondolea hilo, ni yupi inatakiwa awe wa kwanza kuondolewa yule aliyepewa miaka hamsini akaishia kutengeneza watu kama wewe wanaofikiria kwa matumbo baadala akili kwasababu unaamini propoganda ndizo zinatatua matatizo.

Ni vizuri tukajitofautisha na kina Lusinde na mwigulu na wenzake kwa kuwambia nini hasa inatakiwa kifanyike kututoa hapa tulipo kuliko kuendelea kuwatumbukiza watu kwenye umasikini usio na kifani wakati wamekalia kila aina ya utajiri
 
Chadema inawasha kuliko pilipili manga na badoo.

Ulishawahi kusikia/kuona pigo kwa ccm 2015?..badooooooo.
 
Mkuu mimi naona ungekamilisha list kama ungemaliza na Mhe. Mbowe, huyu jamaa wananchi wa Hai walikuwa hawajui kama kala sifuri kidato cha sita (6), sasa wamejua na wamechachamaa kwelikweli, wamesema hata awape Bilicans bungeni awamrudishi.
 
Yaani mimi napafahamu Moshi ndugu yangu.
Pale ukizungumzia CCM limebaki jina tu na vitega uchumi vyake. Siongei kwa ushabiki kwa sababu sipo CCM wala Sipo Chadema. Akiondoka mzee Ndesa wale watu wa pale watachagua chama cha Chadema na sio mtu.
Na ni sababu Chadema ina nguvu sana kuliko chama chochote pale.
Na hata Cirily Chami naye sidhani kama ataweza kusurvive 2015 pale.
Na kwa Ubungo ninachojua ni kuwa Mnyika ana nguvu sana na Chadema ina nguvu sana.
TUZUNGUMZE KWA FACTS NA SIO KWA USHABIKI.
Ni kama Vunjo pale Mrema ana nguvu sana yeye kama yeye sidhani kama TLP ina nguvu yoyote
 
ni hisia na matakwa ya chama tawala kuwapigia debe heb jipange na ulete maada nyingine naona maruerue. Cjapata hoja ya msingi hata moja kwa rais wa mby unazo wasilisha maana uamuzi n wetu wapiga kura na maendeleo yaonekanayo mitaan na ci porojo majukwaani.
 
Nimejiwekea utaratibu, ili niisome coment nilazima niangalie chini ---- kuna mtu ame-'LIKE' lakini hapa thread nzima sioni 'LIKES'
 
tunashukuru, najua umepata buku 7 ya kula mchana, basi nenda kapumzike, maana ayo mawazo yako hayana uchambuzi wowote, wala vigezo, umeandika tu. ila najua hao ndio wanaowanyima usingizi ccm. na bado poleni sana.
 
Sio mbaya kupima upepo kwa vinyweleo japo sikushauri kuzoea tabia hyo
 
Uzi umejaa chuki binafsi kuliko vigezo na sababu za msingi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom