Hii ndiyo tunayoongea ...................walk the talk................safi saaana makamanda wa nguvu ya umma.......tunawakubali na mnatuwakilisha vilivyo .....mpaka kieleweke.....ccm na magamba yao wanapata kiwewe mlivyo kiteam mnatisha na moto wenu kwa ujumla na falsafa mnayoisimamia ndio ukombozi wa taifa hili. Hakuna kurudi nyuma mbele daima mpaka tuizike ccm chama cha magamba
Hiyo ni ishara nzuri kwamba kweli wanazunguka vijijini. natarajia kusikia ni matawi mangapi mapya yamefunguliwa kote kote - mijini na vijijini , na idadi ya 'waongofu' wapya. kazi mbele kwa mbele....
Nimeipenda sana. Nawapa Hi na Big up kubwa. Saaafi sana!
It shows and proves that CDM is a peoples' Party and Peoples'Power.
Sijawahi mwona Mbunge yeyote wa Chama Cha Magamba-CCM au CUF akila huku ameketi kwenye mkeka kijijini na kujichanganyika na wenyeji/wananchi kiasi hiki!!!
Hii ni kampeni tosha kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2015! Hongereni sana Wabunge wetu wa CDM. 2015 lazima TUTINGE IKULU!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.