Wabunge chadema noma

Hongereeni sana Chadema .Kazi bado na bado sana . Kuna mengi magumu yanakuja lakini Mungu atakuwa nanyi
 
Huu ndio ujinga wa baadhi ya Watanzania, wanahusisha elimu na kila kitu: pesa, madaraka nk. Huo ni upuuzi. Waziri Mkuu anayeheshika sana wa Uingereza ni Winston Churchill, huyu alikuwa form IV. Mwalimu Nyerere alipoanza kuwa chachafya Waingereza alikuwa ni Mwalimu wa Diploma ya Ualimu KUTOKA MAKERERE na wala hakusoma kidato cha V na VI. Sasa tujiulize wasomi wa CCM waliojaa kwenye baraza la mawaziri wamefanya nini. Hakuna. Tunatafuta watu wa kututumikia kama akina Kawawa hawakuwa na elimu lakini wanakumbukwa kwa utumishi uliotukuka. Hatutaki wasomi: wezi, majangiri, mafisadi...
Mkuu mbona unataka kuleta maneno hawa wabunge wote sidhani kama kuna aliyezidi kidato cha tano
 
Safi sana wabunge wetu. CCM ilitoa takwimu kuwa CDM inatumia milioni 100 kwa kuandaa maandamano na mikutano kwa mwezi mmoja lakini unaweza kuona jinsi mikutano hiyo inavyogharimu fedha kidogo sana kwa kuishi kwenye nyumba za kawaida kabisa, kula msosi wa kawaida kabisa na kunywa maji tupu. Gharama hizo si kweli. Ukweli ndo huo unaooneshwa na wabunge wa CDM....
 
Back
Top Bottom