domo kweli
Member
- Nov 5, 2010
- 11
- 0
Spika ndo huyo, SS EM wanaanda mpango wa 2015 kwa wateule wao wenye uchu wa madaraka hata kwa kudhani wa TZ ni mafara wa karne hii.Wabunge CHADEMA hakuna kulaza damu,wasomi kibao,uwezo wa kujenga hoja ndo usiseme jambo la msingi ni kuwa na hoja zenye utafiti wa kina na Data za uhakika kupiga support hoja hizo.Hakika hata huyo Mama Spika angekuwa jeuri wa kiwango gani katika kuzima hoja hizo, atakwama tu.DR wa ukweli ni mfano hai choteni hazina.Tunataka Bunge hai.