Wabunge CHADEMA lazima kuwa na shahada

Wabunge CHADEMA lazima kuwa na shahada

mcubic

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
10,310
Reaction score
6,548
Utaratibu ulioanzishwa na CHADEMA (chama kikuu cha upinzani nchini) unawaacha nje kuwania uongozi wa kisiasa wale wasiokuwa na elimu katika ngazi ya shahada. Gazeti la Taifa imara linaripoti taarifa hii.
attachment.php

 

Attachments

  • taifa imara.jpg
    taifa imara.jpg
    49 KB · Views: 5,330
Ni sahihi kabisa. Kwa hali ilivyo kwa nyakati hizi Hatuitaji STD 7 kama wakina Prof Maji Marefu au Zuberi Mtemvu kuingia mjengoni kuwawakilisha wananchi.

Loading October....
 
Hicho ni kigezo kimojwapo tu na kina marks zake. Kuna vigezo zaidi ya 10 na kila kigezo kina marks zake.
 
Halafu nilisikia hata madiwani lazima wawe na Elimu ya Form Four, Vinginevyo nenda kwenu kulima...!!!

BACK TANGANYIKA
 
Hilo gazeti ni la nani kwanza? maana isije ikawa yale ya Lumumba au pro-Lumumba....lakini kwa hoja hiyo ni nzuri ila nadhani hicho ni kigezo kati ya vigezo.
 
Kwa kigezo hiki nusu ya wabunge waliopo bungeni kwa sasa kupitia CDM wameshaondolewa na hiki kipengele
 
Hii information,kama kweli ipo,basi kuna uwezekano mkubwa imekuwa distorted kwasababu za kisiasa tu.
 
Ni sahihi kabisa. Kwa hali ilivyo kwa nyakati hizi Hatuitaji STD 7 kama wakina Prof Maji Marefu au Zuberi Mtemvu kuingia mjengoni kuwawakilisha wananchi.

Loading October....
Soma vizuri, huu utaratibu umeanzishwa na CHADEMA, hauwahusu wabunge wa ccm. Wao wataendelea na hao wanaojua kusoma na kuandika akina prof maji marefu, jah people (std iv) nk. ccm oyeeeeee
 
Back
Top Bottom