Namnukuu Tundu Lussu, ni kweli Mbowe Hana shahada, na hajui kuongea kingereza licha ya Slaa kujitaidi kwa hali zote kumfunza. Ila haina maana kuwa hawezi kuwa kiongozi.
Nashangaa Mbowe atowe tamko kama hilo kuwa kigezo cha kuwa mbunge Chadema. Hakika ruthuku yetu imekuwa sakose CDM. Kwa ukatili huu wa kidemokrasia tutafika ikulu kweli.
My take: Mbowe tutolee ripoti ya ruthuku yetu please.
Kuna MTU katika thread anasema kuwa kauli ikiyotolewa na Peter Msigwa kuwa akili ndo haiwezi kuongoza kubwa ni ya Zitto, huyo ni Mnafki Kama anabisha weka whatsapp no hapo nikutumie clip. Na Uwezo wa Msigwa ni sawa na degree, ndo maana ukiangalia hadi Leo wale wafanya biashara na wamiliki wa kampuni kubwa duniani waliacha vyuo. Ref: Steve Job, Bill Gates, Mark Zackbg na wengine wengi
Kasoma huyo.Somo alilosoma sana na kuelewa ni somo la biashara na namna ya kupata utajiri.Wakati wewe na wengine humu jamii forums mlisomea vitu visivyoeleweka ambavyo haviwafanyi kuwa matajiri bali malofa wa kutupwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.