Wabunge CHADEMA lazima kuwa na shahada

Wabunge CHADEMA lazima kuwa na shahada

Elimu ya Viongozi wa CHADEMA na wabunge wake:

1) Mbowe - Form 6 Failure

2) Mnyika - Form 6 Leaver

3) Sugu - Standard VII

4) Lema - Standard VII

5) Msigwa - Form IV Leaver

Ina maana hawa wote hawatakuwa na vigezo. Basi inabidi wagombee udiwani, au nao unataka shahada?
 
Acha umbea,mkasomee huko lumumba hayo magazeti wananchi hatuyataki
 
Ni kutendea haki mendeleo ya taifa na elimu. Elimu ina maana zaidi ya kutofautisha kucheza ngoma na kuenda shule kama ingetumiwa vizuri.

Hakuna maendeleo popote yanakujaga bila kuwa na watu sahihi mahala sahihi kwa wakati sahihi. Ubaguzi haupo. Yule aasiye na shahada, anafani yake nyingine itamfaa ambayo ataitendea haki zaidi badala ya kulazimisha ubunge na kushindwa kudeliver ambako kuna athiri taifa zima.

wewe angalia umati wa wabunge wa ccm vile wanavyokuwaga mabubu pale masuala ya kitaalma yanapojadiliwa na wanaishia kusubiri kupiga kura za kupulizia upepo.

Safi sana CHADEMA. Hadhi na matumizi sahihi ya elimu, vipaji na taaluma vitarudi na kwa hili uzalishaji utaongezeka sana!.

sio ubaguzi huu...?
 
Hivi ndivyo unavyotaka iwe ama unaelendeleza karama yako ya uwongo? Hello wewe jamaa, nimekuondoa kwenye rank nilyokuwa nimekuweka. Huna haya wala ufahamu.

Ninajuta kupoteza muda wangu kusoma ujinga wako. Sikujua wewe ni juha wa level hii!.

Elimu ya Viongozi wa CHADEMA na wabunge wake:

1) Mbowe - Form 6 Failure

2) Mnyika - Form 6 Leaver

3) Sugu - Standard VII

4) Lema - Standard VII

5) Msigwa - Form IV Leaver

Ina maana hawa wote hawatakuwa na vigezo. Basi inabidi wagombee udiwani, au nao unataka shahada?
 
Hivi ndivyo unavyotaka iwe ama unaelendeleza karama yako ya uwongo? Hello wewe jamaa, nimekuondoa kwenye rank nilyokuwa nimekuweka. Huna haya wala ufahamu.

Ninajuta kupoteza muda wangu kusoma ujinga wako. Sikujua wewe ni juha wa level hii!.

Nani ambae nimemsingizia hapo kiwango chake cha elimu.

Naapa, kama yupo hata mmoja kuanzia leo naupokea ukamanda wa CHADEMA na naahidi kujiunga Red Brigedi.
 
Si watakua wanakiuka katiba ya JMT?

Ni kweli katiba inasema ni kujua kusoma na kuandika tu hata kama huna cheti chochote kwa maana ya kwamba unaweza kuwa umefundishwa nyumbani bila kwenda shule yoyote
 
DSC01869.jpg
 
Elimu ya Viongozi wa CHADEMA na wabunge wake:

1) Mbowe - Form 6 Failure

2) Mnyika - Form 6 Leaver

3) Sugu - Standard VII

4) Lema - Standard VII

5) Msigwa - Form IV Leaver

Ina maana hawa wote hawatakuwa na vigezo. Basi inabidi wagombee udiwani, au nao unataka shahada?

Sugu nadhani ni form 4 maana anasemaga alisoma na Mulugo, Msigwa ana shahada kutoka chuo kimoja kule SA. Mnyika ana Shahada ya UDSM. Tena nilisikia anataka kufanya masters lakini utumishi unambana.

Mbowe ikiwa alimaliza form six zamani hizo basi huenda ana shahada ingawaje sina uhakika.

Mimi siyo mwanasiasa lakini kweli huweka huru
 
Watajaa wachaga maana ndio wengi wenye digrii.Sugu hana digrii kazi anayo na miwani yake ya jua anayovaa hata usiku wa manane.
Chama cha kibaguzi CHADEMA sijaona kwa hiyo wsio na digrii wanaruhusiwa tu kupiga kura sio kupigiwa kura? CHADEMA kwa hili imevunja katiba ya nchi ambayo mtu ana haki ya kupiga kura na kupigiwa kura.

Wale ambao hamjasoma na hamna digrii hamieni upesi vyama vingine nyie na wapiga kura wenu
 
ni sahihi kabisa. Kwa hali ilivyo kwa nyakati hizi hatuitaji std 7 kama wakina prof maji marefu au zuberi mtemvu kuingia mjengoni kuwawakilisha wananchi.

Loading october....

abas mtevu sio zuberi
 
sugu nadhani ni form 4 maana anasemaga alisoma na mulugo, msigwa ana shahada kutoka chuo kimoja kule sa. Mnyika ana shahada ya udsm. Tena nilisikia anataka kufanya masters lakini utumishi unambana.

Mbowe ikiwa alimaliza form six zamani hizo basi huenda ana shahada ingawaje sina uhakika.

Mimi siyo mwanasiasa lakini kweli huweka huru

mbowe ana masters toka uk
 
Sugu nadhani ni form 4 maana anasemaga alisoma na Mulugo, Msigwa ana shahada kutoka chuo kimoja kule SA. Mnyika ana Shahada ya UDSM. Tena nilisikia anataka kufanya masters lakini utumishi unambana.

Mbowe ikiwa alimaliza form six zamani hizo basi huenda ana shahada ingawaje sina uhakika.

Mimi siyo mwanasiasa lakini kweli huweka huru

Tafuta uzi wa Mnyika humu JF kuhusu elimu yake. Yeye mwenyewe alikiri kuwa hakumaliza chuo. Hivyo kunamfanya awe form 6 leaver maana hana shahada hana cheti.

Kuhusu Msigwa, SA alienda kwa ajili ya mambo ya kiroho na hivyo kunamfanya abaki na cheti chake cha kidato cha nne tu.

Mbowe alifeli form 6 na ndio maana anaitwa Zero.
 
Vip eelim ya
proff maji marefu
amani karume
livistone lucynde
idd azan
hasnain murji
sophia simba
JITU SONI
 
Kauli ya zito inafanya kazi

akili ndogo aiongozi akili kubwa; sasa wameanza kumuelewa zittoo.
Wamempeleka mnyika kaangukia pua.

Watu kama zito argument zao lazima ujipange; angalia anavyowapanga . Nchi nzima ukawa.

Out moja ya zito ; watu viti ofisini avikaliki.

Chezea zito ; habari ya mjiniiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Halafu nilisikia hata madiwani lazima wawe na Elimu ya Form Four, Vinginevyo nenda kwenu kulima...!!!

BACK TANGANYIKA
Mbowe hawezi kukubali hayo mapendekezo.Na akikujua UMEKOMENTI HIVI HAPA NI LAZIMA UFUKUZWE UANACHAMA.MSALITI MKUBWA WEWE.
 
Back
Top Bottom