Wabunge (CHADEMA): Chama kwanza utaifa baadae

Wabunge (CHADEMA): Chama kwanza utaifa baadae

Uongozi wa timu ya Lipuli
ya mkoani Iringa mwisho umetangaza kamati itakayosimamia masuala ya
usajili na ufundi katika klabu hiyo kongwe ya mkoani Iringa,
Akizungumza na mwananchi mwenyekiti wa klabu hiyo iliyobeba jina lenye
maana ya Ngome ya Mkwawa Abnery Mrema amemtaja ndugu Pascal Bella kuwa
mwenyekiti wa kamati hiyo huku Ahmadi Lulanga akiwa makamu mwenyekiti
wakati katibu mkuu akiteuliwa aliekuwa katibu wa Polisi Iringa msimu
uliopita Chris Lukosi.

hii nimeipenda! ni kama taarifa ya habari ya mabomu arush tbc 1 kisha chini unasoma msg kuhusu gec ya mtwara!
 
NDUgu zanguni,

Nimegundua kuwa kila kukicha Hawa makamanda WA Chadema wamekuwa wakifanya upuuzi WA kila aina ili wakamatwe halafu wawe gumzo mitaani.

Ningependa kuwashauri waheshimiwa sana makamanda,

Hebu fanyeni kazi za kulijenga taifa, huko jela mnamaliza vya kula vya wanaostahili kuwa huko,

Au ile harufu ya lupango Kwenu Ni manukato.

Cc, Sugu, Lema na wengineo wapenda misifa....

JITAMBUE!

Yaani nimepitia majibu yote uliyojibiwa hadi inanipa shaka kuamini kama kweli hawa wanaojibu wana weledi gani wa kujibu hoja. ndio maana mzee makamba alikataa mambo ya midahalo kwa wagombea wake. hili ni jukwaa la midahalo lakini kuna upande unatia shaka hasa kwenye hii hoja yako kutokana na wachangiaji wake.
 
Cris lukosi vp mbunge wenu anayechangia pumb bw Kessy wa Nkasi? Huyu ana tamaa na headlines
 
We jamaa una familia? Basi ina hasara ya kua na kiongozi wa familia kama wewe
 
NDUgu zanguni,

Nimegundua kuwa kila kukicha Hawa makamanda WA Chadema wamekuwa wakifanya upuuzi WA kila aina ili wakamatwe halafu wawe gumzo mitaani.

Ningependa kuwashauri waheshimiwa sana makamanda,

Hebu fanyeni kazi za kulijenga taifa, huko jela mnamaliza vya kula vya wanaostahili kuwa huko,

Au ile harufu ya lupango Kwenu Ni manukato.

Cc, Sugu, Lema na wengineo wapenda misifa....

JITAMBUE!

We mikosi vipi mbona hujaonekana Iringa wakati uliahidi mkutano mkubwa kuzidi ule wa Msigwa. June ndo hiyo inaishia.
 
[h=1]Jamie Carragher on why Arsenal must step up to the plate in 2013/14[/h] Last Updated: June 25, 2013 11:22am

  • Share:

  • wenger_2944366.jpg
Wenger: must sign big, strong players, says Carragher

1/1

Jamie Carragher is Sky Sports' newest signing.
The former Liverpool and England defender joins our team of experts alongside the likes of Gary Neville, Jamie Redknapp and Graeme Souness for a season where you can watch 116 live Barclays Premier League matches, more than ever before, in HD and on mobile and tablet devices only with Sky Sports.
As we count down to the new campaign, Jamie shared some of his thoughts on how some of the big clubs are shaping up.
Read on for his views on a big season for Arsenal and why they need a change of mentality and attitude in the coming season.
[h=4][/h]
Jamie-Carragher-Football-Opinion-Expert_2961619.jpg
They've got to do a lot more than just reach the top four. Their aim has got to be to overtake Man United, Man City and Chelsea and make more of an impact at the top of the table.
I don't think there are any excuses now and I don't think there were before. Arsenal, the same as Liverpool, are a massive club.
Arsenal have obviously done better than Liverpool in terms of the Champions League but I'm not talking about Arsenal winning the Champions League or the league, I'm saying in the last eight years you'd expect them to win an FA Cup or maybe a League Cup.
It's been going on for so long now and it's been the same every year. They qualify for the Champions League and go out in the last 16 and fight to the end of the season to get in the top four. I'm sure the supporters would love to see them in Cup Finals and semi-finals. I think that's what they need to do.
They'll bring a few players in, as Arsene Wenger always does, but they've got to start getting the winning mentality back and get over the line in big games.
 
Mkuu Lukosi kumbe na ww fikra zako ni finyu pia,hakuna anayependa lupango,ila kwa Tz ukisema ukweli unaenda lupango na ili tuendelee lazima tuwe na makamanda kama wa CDM

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Masifa ya kijinga ndio watafutayo ili waonekana wapigania haki za wanyonge kumbe watafuta title tu.
 
NDUgu zanguni,

Nimegundua kuwa kila kukicha Hawa makamanda WA Chadema wamekuwa wakifanya upuuzi WA kila aina ili wakamatwe halafu wawe gumzo mitaani.

Ningependa kuwashauri waheshimiwa sana makamanda,

Hebu fanyeni kazi za kulijenga taifa, huko jela mnamaliza vya kula vya wanaostahili kuwa huko,

Au ile harufu ya lupango Kwenu Ni manukato.

Cc, Sugu, Lema na wengineo wapenda misifa....

JITAMBUE!

hujitambui,,, jitambue kwanza wewe
 
Nasikia umelalamika sana kuhusiana na TBS kupiga marufuku uingizaji wa Nguo za ndani za Mitumba kwani ndo biashara yako huko unaokoteza vinguo vya ndani vya wazungu unavileta huku kwetu na ukijinathibisha kwamba unawapenda nduguzo watanzania.
 
Chris at work!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nani nchi gani mkuu?? kama ni bongo inajengwa na wenye moyo inaliwa na wenye meno (CCM) hahahahaaaaaaaaaaaaa kaza but labda utaingizwa kwenye kundi la wenye meno manake una bidiiiiiiiiiiii
 
Mburulaz wa magamba anajitahidi kuwakumbusha waajiri wake kuwa bado yuko hai.
 
Wewe unastahili tusi kama alilopewa yule kiranja wa lile jengo letu takatifu,pambafu mkubwa weeee'.....
 
Lukosi ni vyema kabla ya ku post anything ufikirie kwanza. Unaposena hawa viongozi wanapenda kukamatwa? He unauhakika. Hata tulio neutral na siasa za Tanzania tunashindwa kukutathmini. Wewe ulikuwa mmoja wa wana chadema Leo hii unawaponda, usiteme karanga kwa utamu bazooka!!!
 
NDUgu zanguni,

Nimegundua kuwa kila kukicha Hawa makamanda WA Chadema wamekuwa wakifanya upuuzi WA kila aina ili wakamatwe halafu wawe gumzo mitaani.

Ningependa kuwashauri waheshimiwa sana makamanda,

Hebu fanyeni kazi za kulijenga taifa, huko jela mnamaliza vya kula vya wanaostahili kuwa huko,

Au ile harufu ya lupango Kwenu Ni manukato.

Cc, Sugu, Lema na wengineo wapenda misifa....

JITAMBUE!

We mama kama unaogopa Jela kaa pembeni wanaume wapite! Huyo Mzee Nyerere Jela anaijuwa tena ya Kikoloni haikuwa hata na TV!

Unakuja mbele ya Madume ya Simba unaona Jela ndo mjadala!
 
Back
Top Bottom