Hiyo ni kwa ajili ya usalama wa nchi. Kaa kimya kijanaKwa nini majina ya wabunge wetu waliopata ajali wakiwa safari kwenda Kenya kwenye michezo hayajatajwa? Kuweka siri majina yao kunaashiria nini kwa mustakabali wa Taifa?
Ni haki yetu wananchi kumfahamu maendeleo ya afya za viongozi wetu na kutuficha ni makosa!
Usalama wa nchi na wabunge wapi na wapi!Hiyo ni kwa ajili ya usalama wa nchi. Kaa kimya kijana
Ni watunga sheria, kuwakilisha wananchi, kutetea SERIKALI YAO WANAPOTAKA KUUZA NCHI. Kwa hiyo lazima wafichwe na kulindwa sana.Usalama wa nchi na wabunge wapi na wapi!
Kuwaficha hakutawaponya bali kudhihirisha uovu wa serikali hii!Ni watunga sheria, kuwakilisha wananchi, kutetea SERIKALI YAO WANAPOTAKA KUUZA NCHI. Kwa hiyo lazima wafichwe na kulindwa sana.
Hawatayaweka maana wanahofia mtayasomea kurujuan.Kwa nini majina ya wabunge wetu waliopata ajali wakiwa safari kwenda Kenya kwenye michezo hayajatajwa? Kuweka siri majina yao kunaashiria nini kwa mustakabali wa Taifa?
Ni haki yetu wananchi kumfahamu maendeleo ya afya za viongozi wetu na kutuficha ni makosa!
Si kwa usalama wao?Hiyo ni kwa ajili ya usalama wa nchi. Kaa kimya kijana
Wangekuwa raia wa kawaida majina yangekuwa hadharani.Bongo ni nchi ngumu, ni nchi ya maajabu, kila mara kuna taarifa za ajali ila walioumia hawatajwi sasa sijui wanaongea kwa nini. Si waache tu.
Wengine wanachechemea sababu ya gouts!Ukiona anachechemea ndiye 🐼
Kamba hiyo!Nimekutana na mmoja muda huu hapa Dodoma mjini amebebwa kwenye machela! Sijui anapelekwa kwa mganga wa kienyeji kutibiwa.
Dua za wananchi zikijibiwa, kila kitu kitakuwa wazi ingawa lazima itapindishwa.Kwa nini majina ya wabunge wetu waliopata ajali wakiwa safarini kwenda Kenya kwenye michezo hayajatajwa? Kuweka siri majina yao kunaashiria nini kwa mustakabali wa Taifa?
Ni haki yetu wananchi kufahamu maendeleo ya afya za viongozi wetu na kutuficha ni makosa!
Mfichaficha maradhi kilio kitamuumbua! Ngoja tusubiri.Kwa nini majina ya wabunge wetu waliopata ajali wakiwa safarini kwenda Kenya kwenye michezo hayajatajwa? Kuweka siri majina yao kunaashiria nini kwa mustakabali wa Taifa?
Ni haki yetu wananchi kufahamu maendeleo ya afya za viongozi wetu na kutuficha ni makosa!