mrelbattawy
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 564
- 112
Kama nitapiga kura ya hapana kwa rasimu hii basi ni kwa hicho kipengele.
Rasimu inapendekeza shirikisho la nchi mbili huru kwa hiyo ni lazima kuwe na uwiano katika mambo yahusuyo muungano.
Hiyo ratio ya 50:20 imetumia kanuni gani?
Miye hapana yangu itapatikana kwa kutokuwekwa mahakama ya Qadhi kwenye katiba.Kama nitapiga kura ya hapana kwa rasimu hii basi ni kwa hicho kipengele.
Rasimu inapendekeza shirikisho la nchi mbili huru kwa hiyo ni lazima kuwe na uwiano katika mambo yahusuyo muungano.
Hiyo ratio ya 50:20 imetumia kanuni gani?
Na Je kuchangia kwenye pato la serikali ya Muungano napo wanaangalia 50:50, ama wanaangalia population 50:20. Ni nini wanachoangalia ama watachoangalia?
Miye hapana yangu itapatikana kwa kutokuwekwa mahakama ya Qadhi kwenye katiba.
Miye hapana yangu itapatikana kwa kutokuwekwa mahakama ya Qadhi kwenye katiba.
hapo unapotoka zaidi, unajua population ya tanganyika vs ya zanzibar iko kwa ratio ipi? hata hao tuu watakuwa wamependelewa! ilitakiwa kama ni 70:7 to be fair, fuatilia us na nchi nyingine populn ina impact gani!
Fumbua macho mkuu, hyo inawezekana vip? Tanganyika iwe sawa na zanzbr hata hvyo z azbr imepewa weng ukilingalisha na uwakilish wake ilitakiwa mpate wabunge 5! Tatizo lako unateswa na udini!
haiwezekani wazenj hawana uwezo huo,hii mambo ya serikali tatu yanakwenda kuua muungano sasa hivi.kumbe ndo maana kambarage alikua amegoma kabisa...ratio ya wabunge wa muungano pia ni issue kubwa.kama contribution ya pato ni 50% ni it ok!
...
Ivi warioba na tume yake hapa kweli walitenda haki? mana ukiisoma Rasimu inazungumza wazi wazi ni shirikisho la nchi 2., inakuwaje nchi moja 50 nyengine 20??
...
kwamaana kila itakapohitajika ipigwe kura,wazenj watapoteza kwa ajili ya uchache bungeni,hawatakubali.Hiyo ratio inaweza kutumika kama kuna mgao wa chakula cha msaada kwa waathirka wa njaa! Hapo nitakubaliana na wewe.
Linapokuja swala maamuzi, katiba inataka simple majority kwa hiyo ZNZ kuingia katika uwiano wa namna hiyo ni kutengeneza mgogor mwingine wa kikatiba ambao utakuja kuundiwa tume baada ya miaka michache ijayo.
Aisee mrelbattawy umegundua eeh! Hata mimi nimeshangaa Zanzibar kupewa idadi kubwa hivyo ya wabunge. Kama haki ingetendeka, ilitakiwa kila mbunge 1 Zanzibar kuwe na wabunge 33 wa Tanganyika. Ikumbukwe kwamba ratio ya population ya Tanganyika to Zanzibar ni 43,625,354 : 1,303,569, kwa hiyo kwa wabunge 50 wa Tanganyika, sana sana wangetoka wabunge 2 wa Zanzibar[h=2]Wabunge 50 Tanganyika 20 Zanzibar inakuwaje mgao huu??[/h]
haiwezekani wazenj hawana uwezo huo,hii mambo ya serikali tatu yanakwenda kuua muungano sasa hivi.kumbe ndo maana kambarage alikua amegoma kabisa...ratio ya wabunge wa muungano pia ni issue kubwa.
hapo unapotoka zaidi, unajua population ya tanganyika vs ya zanzibar iko kwa ratio ipi? hata hao tuu watakuwa wamependelewa! ilitakiwa kama ni 70:7 to be fair, fuatilia us na nchi nyingine populn ina impact gani!