Hizi ni dalili za kushimdwa!
Hata wakihamishia makao makuu ya chama kalenga watapigwa tu.
Wamchukue yule babu fundi saa mwenye kampuni yake.
Aje Padre na hawara yake mkubwa na mdogo.
Mwenyekiti aje na yule bint wa fundi saa awe pamoja na mke mdogo Mukya ili akajipoze naye Kalenga.
Lakini kuchukua jimbo la Kalenga itakua ngumu wataondoka Usiku kwa aibu kama theluji imeyeyushwa na jua na hapo ndipo watapoipata digrii ya Washindwa wazoefu CCM inawapeleka tu viongozi wa Matawi wanatosha.
Hata wakihamishia makao makuu ya chama kalenga watapigwa tu.