Wabunge 40 wa CHADEMA kutua Kalenga kuongeza nguvu

Aisee mpaka raha cdm wanavyojipanga hata wakichukuwa serekali watajipanga vema washaonyesha wanaweza cdm oyeeeee!!!!
 
Hizi ni dalili za kushimdwa!

Wamchukue yule babu fundi saa mwenye kampuni yake.
Aje Padre na hawara yake mkubwa na mdogo.
Mwenyekiti aje na yule bint wa fundi saa awe pamoja na mke mdogo Mukya ili akajipoze naye Kalenga.
Lakini kuchukua jimbo la Kalenga itakua ngumu wataondoka Usiku kwa aibu kama theluji imeyeyushwa na jua na hapo ndipo watapoipata digrii ya Washindwa wazoefu CCM inawapeleka tu viongozi wa Matawi wanatosha.
 
hao wabunge 40 wanunue na pamba za kuwavalisha wale watoto labda watawaelewa na kuwapa kura zao sawa !
 
jamani ombi kwa hao wabunge 40 tafadhalini sana mtembee na mipira ya kiume msituulie ndugu zetu ! !maana nyie ni wazee wa michepuko kuanzia presidar wenu
 
Wamchukue yule babu fundi saa mwenye kampuni yake.
Aje Padre na hawara yake mkubwa na mdogo.
Mwenyekiti aje na yule bint wa fundi saa awe pamoja na mke mdogo Mukya ili akajipoze naye Kalenga.
Lakini kuchukua jimbo la Kalenga itakua ngumu wataondoka Usiku kwa aibu kama theluji imeyeyushwa na jua na hapo ndipo watapoipata digrii ya Washindwa wazoefu CCM inawapeleka tu viongozi wa Matawi wanatosha.

Viongozi wa Chadema si kama akina Gaidi Mwigulu waliomtelekeza Sioi wa watu usiku wa manane, pia viongozi wa chadema si kama makamba aliyekimbia tarime usiku kwa usiku baada ya kuangukiwa na kitu kizito kinachoitwa nguvu ya umma..
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom