Wabunge 19 wa CHADEMA wagoma kuipigia kura ya ndio bajeti

Bajeti ni nzuri na inapita bila shida yoyote.
Halima mdee ni mkombozi na shujaa ambae JMT haitakuja kumsahau
 
Bajeti ni ya serikali au ya chama?
 
Kweli tupu wanatakiwa kuishukuru CCM kwa maovu yao
 
Hapo ndiyo ujue kuwa hao wabunge wa Chadema, weshaona kuwa wenzao wa CCM, weshawatosa!

Kwa hiyo nao wameamua kuwapa mkono wa bye-bye, kwa kusema kuwa bajeti yao, hawajafanya maamuzi
 
Bajeti ni nzuri na inapita bila shida yoyote.
Halima mdee ni mkombozi na shujaa ambae JMT haitakuja kumsahau
Naam, na 2025 itabidi tumpe fomu agombee urais kupitia Umoja Party, maana ndiye pekee anayeweza kuendeleza legacy ya JPM, CCM ya sasa ni ya mafisadi...
 
Wanaonesha kuwa wao ni wapinzani ikizingatiwa kuwa kutokana na uchache wao, kura yao haina madhara maana walioipigia kura ya kuikubali (CCM) ni wengi zaidi. Wako kimkakati zaidi!!!
 
Hii nchi bhana! Yaani watu kama Babu Tale, Alexender Mnyeti, Joseph Kasheku 'msukuma', Deo Sanga 'Jah People', Livingstone Lusinde 'Kibajaj', Jesca Msambatavangu, na wengineo wengi!

Ndiyo wanao amua hatma ya maisha yetu eti!! So sad.
 

Unawasema kama ni watoto yatima. Tatizo la nchi masikini kama yetu siasa ni kazi!!
 
Kisu cha kukata kamba kimebaki kwa Mama, wanachofanya ni kutaka kufurahisha anti-covid 19 na pro-covid 19 yani wamebaki NEUTRAL!
 
hawana madhara
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…