Wabunge 19 CHADEMA kwenye mateso makali

Wabunge 19 CHADEMA kwenye mateso makali

Yaani kuwanyima watu chakula nikitu Cha kujisifia kama chama? Ujinga mtupu huo chama la wauaji

Hivyo vijipombe ulivyonyweshwa na wanaume ndio vinakufanya ulete vijimatusi vya kishamba kwa huo uzushi wa huyu muhuni mwenzako. Kuna mtu aliwabebea hotpot ya chakula kwenye huo mkutano? Au kuna mtu wamemkabidhi hela yao ya chakula hapo ukumbini?
 
Wabunge 19 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema,wanaosubiri hatma yao kwenye kikao Cha baraza kuu,wameingia katika mateso makubwa baada ya kutopatiwa Chakula tokea walipoingia Ukumbini humu,huku wakitakiwa wasioende popote Bila ya Ulinzi wa vijana wa Chama.

Hata wakati wa Mapumziko ya Chakula wabunge hao hawakupewa nafasi ya kushiriki mezani na wenzao kwa maelezo kuwa Bajeti yao haijawekwa.

Hata baadhi yao walipotaka kuinuka kwenda kujitafutia rizki walizuiwa kwa maelezo kuwa hawaruhusiwi kutoka katika eneo hilo mpaka uamuzi ufanyike.

Kwa mujibu wa viongozi tangazo la kubariki uamuzi wa Kamati kuu ya Chama utatolewa ifikapo saa nane usiku.

Tayari mmoja wa vijana wa Chama mwenye wafuasi na wengi mitandaoni,amepewa jukumu la kuuandaa umma juu ya uamuzi huo ikiwa ni pamoja na kueleza kuwa wabunge hao wamefika na vijana kutoka Bunda Mkoani Mara kwa ajili ya kufanya vurugu.
Tena wawaachie ,hao sio wafungwa.Wanawazuiia kula wao ni nani ? Jamani huyu Mbowe misifa itamponza na bado hajakoma.Nimemuona hata anavyoongea kwenye kile kikao chao ,bado kiburi kipo.
 
Nawewe ni mpumbavuvsana yaani mmekuwa na lichama la kikatili kiasi hicho? Chakula kinawatoa imani ya kibinadamu? Hayo ni mavi tu sijui yatawafikisha wapi na ndiyo maana mtabaki kuwa wapinzani daima maana hata dunia sasa inaanza kuwajuwa nyie ni katili kiasi Gani mbwa nyie
Kwi Kwi Kwi
 
Walivamia kikao ambacho siyo Chao. Tena wafungiwe stoo wamwagiwe maji nguruwe hao. Nimeona wakiingia kwa Mbwembwe YouTube. Nikajisemea hawa mamluki hawakijui Chadema vizuri. Chadema inajielewa. Hata ingekuwa kwetu CCM Kwanza wasingekanyaga hapo na aakikanyaga polisi wangebeba juu juu. Ulizia akina Membe wakupe mambo yetu. Hatuna mchezo na wasaliti.
Kama wewe ni ccm kwa post unajielewa
 
Kumbe chadema ni chama katili kiasi hiki na kisichoheshimu haki za binadamu? Chama hakijui kuwa kula ni haki ya msingi ya binadamu?
 
Yaani mwandishi wa hii habari kwanza unajuwa huo ulioandika Tena kwa ushabiki mkubwa ni ukatili wa kiwango kikubwa sana ambao unaionyesha chadema ilivyo chama Cha wauaji na makatili wakubwa hata huyo mwamba maviwenu mbowe Hana akili utawawekaje watu binadamu na njaa kwaajili ya upumbavu wake aliioufanya ya kuchanganya watu kwapeleka majina kwa Siri mwambie I mbowe aache upumbavu wake awatendee haki hao watu siyo wanyama ilaaniwe chadema nawatu wake wote wanyama nyie mnataka kuwauanna njaa dada za watu
Unaaibika mwenyewe kushabikia ujinga.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Yaani mwandishi wa hii habari kwanza unajuwa huo ulioandika Tena kwa ushabiki mkubwa ni ukatili wa kiwango kikubwa sana ambao unaionyesha chadema ilivyo chama Cha wauaji na makatili wakubwa hata huyo mwamba maviwenu mbowe Hana akili utawawekaje watu binadamu na njaa kwaajili ya upumbavu wake aliioufanya ya kuchanganya watu kwapeleka majina kwa Siri mwambie I mbowe aache upumbavu wake awatendee haki hao watu siyo wanyama ilaaniwe chadema nawatu wake wote wanyama nyie mnataka kuwauanna njaa dada za watu

Sio kila Jambo unaloambiwa unajaa mengine ni uzushi. Chakula wamekula tuache fitina.
 
Back
Top Bottom