Mkuu swala la uchunguzi ni complex process siyo swala la kulala kuamka then nilete uzi. inahitaji uchunguzi wa kina ili nikija niwe na evidence.... baada ya kuleta ule uzi wa kwanza nikiri walishtuka na kujipanga so evidence zikawa ngumu kupata ila thanks God siku ya ijumaa nilikamilisha na kuzipata, so soon from alhamisi kitu kinadondoshwa.........
kuhusu umaarufu humu ndani wala siyo maarufu kama unavyodai... kuna mtu maarufu humu ndani kuliko Mwanakijiji, Lizaboni, Wewe, Pasco, Minyoo, funza, msalani, zito, Mwigullu nk
kabisa mkuu........ Mkt wa CCM pia kashasoma upepo......Kama CCM ikimtosa lowassa kwa hila nchi itatikisika
Tuvute subira mkuu, alhamisi au ijumaa siyo mbaliMh!
poa mkuu. Ila, thread ile ya Sukari ulikurupuka tu. Thanx kwamba mmeshagundua kuwa ilikuwa Urongo.
Mkatueleza ati Bunge hili lingewasha moto huo, tukasubir kimya.
Mjiongeze sometimes!
Tumuachie yeye alie juu akimamua litakuwa.
kabisa mkuu........ Mkt wa CCM pia kashasoma upepo......
Katika magazeti ya leo story kubwa ni wabunge kumuunga mkono Lowassa eti watu kama Komba, Chatanda, Ntukamazina wote wamefunguka.
Binafsi mradi huu niliutarajia sema ulichelewa, kinachooudhi ni magazeti yetu kutofanya utafiti kidogo kujua huu ni mradi wa watu.
Kwa hivi sasa hakuna weledi, tunatumikia wenye fedha kuanzia viongozi hadi wataalamu wapo mifukoni mwa wenye fedha ambazo hatukuwahi kujua wamezitoa wapi.
Mtatufanya tusome mitandao maana huku watu wanahoji, wanauliza wanatia mashaka.Eti mtu anafaa kuwa rais kwa sababu aliposhuka kwenye gari alishangiliwa?
NCHI HII BADO SANA.
Chanzo:Mtanzania
Swali kwa komba, el asipo pitishwa kuwa mgombea wa ccm bado ataimba ule wimbo wake maarufu wa sasa kumekucha jogoo limewika dodona au atazira?
mfano mzuri sana huo chief....... Nguvu ya umma ni hatari sanaItakuwa kama mkapa alivyokuwa hamtaki kikwete 2005 awe rais ila alivyosoma upepo ilibidi awe neutral
Soma magazeti kwanza ndiyo urudi tena, naona bado kuna utongotongo kwenye macho yako.......... tarehe 12 march hao wabunge watakuwa na press conference Dodoma, karibu sana........Inasikitisha kuona mbinu hafifu sana Ndugu Edward na Kambi yake wanazotumia. Kutoa watu sadaka na kadhalika. Maskin wabunge hawa waleishwa manen pasipo wao kujua. Mbinu chafu na hafifu sana. Mbinu zisizokua na chembe ya akili hata kidogo. Mbinu za kivivu. Mbinu za kupandikiza chuki. Mbinu za kulet taharuki.
Naelewa presha anayoipata Ndugu Edward na Kambi yake wakielekea kushindwa, wahenga wanasema mfa maji; haachi kutapatapa. Ushauri wangu wa bure na pengine msio uhitaji; vyema haswa nyie wapambe mkaanza tafuta na kuwekeza nguvu zenu kwenye shughuli ambazo zitainua maisha yenu na kuendeleza Taifa; jipeni shughuli nyingine. Hii imekwisha. Kadiri mnavyozidi kueneza uzushi, ndio na sisi tunavyozidi kupotea imani na watu wazandiki na wenye hila kama ninyi.