Wabunge 150 wa CCM wajitosa kumuunga mkono Lowassa

BY SHEILA MABAGA Sheila Mbaga is offline
Sheila Mbaga

Join Date : 27th February 2015

Default Re: Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. WillibrodSlaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa

Ukweli wa Mauaaji haya hapa: Membe, Gotham na Ridhiwani wahusishwa

Ni kwa kipindi chamuda mrefu kumekuwepo na kikundi kinachoratibu mauaji ya watu mbali mbali. hayatunayoyasikia kwa Dr. Slaa siyo mageni masikioni mwetu bali ni muendelezo wakile kinachoratibiwa na kundi hilo. Ni wazi kuna mipango yaliyoanza kutekelezwakwa baadhi ya wana CCM na baadhi wa wapinzani, leo hii naomba niwatelee ukweliwa haya mauaji yote na mipango ya kuuwa watu wengine....

1. Mjumbe wa NecLudewa: Huyu ndiyo alikuwa mhanga wa kwanza katika mauaji ya hivi karibuni,mjumbe huyu wa halmashauri kuu ya Taifa ya CCM, aliwekewa sumu katika kikao chaNEC kilichofanyika mwezi wa 11 mwaka jana katika mji wa Dodoma, bila kupepesamacho uratibu wa kumwekea sumu uliratibiwa na bwana moja anayejulikana kwa jinala Jack Gotham, ambaye ni kada wa Chama cha Mapinduzi.

2. Mjumbe wa Nec waCCM kutoka Kahama: Huyu ni mjumbe wa NEC wa chama cha mapinduzi kutoka wilayaya Kahama, ambaye ni mdogo wake waziri Marry Nagu, naye ni muanga wa kuwekewasumu, ambapo aliwekewa sumu katika kikao hicho hicho kilichoketi Dodomamwishoni mwa mwaka jana.

3. BeatriceShelukindo: Huyu ni mbunge wa Kilindi kupitia chama cha mapinduzi, na ni mjumbea halmashauri kuu ya Taifa kupitia wilaya ya kilindi, ni kwa muda mrefu sanaMama Beatrice amekuwa akiugua na kutibiwa India. Beatrice aliwekewa sumubungeni na wahusika hawahawa ambao nitawataja hapa chini. kama unakumbukaBeatrice Shelukindo alikuwa moja wa wabunge waliokuwa wakali sana kuhusu swalala Richmond ila baadaye alipogundua ukweli akaamua kuwakimbia na kusimama katikaukweli. Ni jambo la kumshukuru Mungu ya kwamba kwa sasa Beatrice yuko nchini naanaendelea vizuri baada ya juhudi kubwa za madaktari wa India kuweza kuondoasumu aliyowekewa.

4. Kapteni Komba:Komba amekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi na mjumbe wa NEC kupitia Nyasa, baadaya mazishi yake yaliyofanyika wiki iliyopita sasa ni wazi kilichomuuwakimejulikana. Komba aliwekewa sumu na hao hao wahusika sababu kubwa sikiwambili, mosi ni ahadi aliyopewa Stella Manyanya kuhusu jimbo husika na pili niwazi Komba alikuwa instrumental katika siasa za Edward Lowassa ambaye anawatoaroho huko CCM katika kinyanganyiro chao cha uchaguzi wa ndani. Ni Komba sikuchache kabla ya kuwekewa sumu alisema wazi wazi kwamba anamuunga mkono Lowassakuwa mgombea wa chama cha mapinduzi.

5. Salum Awadh: Huyualikuwa ni mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi, kifo chakehakikupishana na cha Komba, pamoja na sifa zote ila alikuwa na sifa moja kubwaambayo ni ujasiri, Ni Awadh aliyediriki kusema mbele ya Mkt Jakaya kwamba kamani kosa la maadili basi wagombea wote ndani ya CCM wana kosa hilo la maadili nasiyo wachache kama tunavyoaminishwa, pili ni Awadh aliyetoa hoja binasfi ndaniya kamati kuu kwamba Nape Nyauye ambaye ni mwenezi wa chama afukuzwe ndani yachama na anyanganywe kadi yake mara moja kwa sababu alishakisaliti CCM na kuwamoja wa waanzilishi wa CCJ, vile vile Awadh aliongezea hoja yake kwamba kwasasa Nape yupo kwa ajili ya kukibomoa chama badala ya kukijenga...

Bwana Awadh aliwekewasumu na ndugu Issa Gavu katika ofisi ya Kisiwandui, siku mbili kabla; nduguGavu alifanya kikao cha pamoja katika hoteli ya Serena akiwa na RidhiwaniKikwete na Jack Gotham ambaye ni consultant kwenye mradi wa vitambulisho vyaTaifa {NIDA), na ndiyo meneja kampeni wa Bernard Kamilius Membe..

Gotham mnano tarehe22.04. 2014 alienda Nchini Bulgaria kupata mafunzo ya kuuwa watu kwa njia yasumu na kisha akarudu na sumu aina ya CYNIDE ikiwa ni sumu mahsusi kwa ajili yakumaliza wale wote wanaoona ni kizingiti kwao katika kukamata dola. hii sumu nikwa ajili ya kuwamaliza wale waliovizingiti kwao ndani ya chama chao na nje yachama chao, ndiyo mana leo hii kusikia kuhusu Dr. Slaa kutaka kuuwawa ni swalaambalo ni serious na la ukweli. Katika hili la Dr. Slaa msimamizi mkubwa niMangula ambaye ni makamu mwenyekiti wa chama hicho (kama mlivoona kwenye vyombovya habari vya leo), na ni Membe aliyeenda kusini kumfata Mangula....

Mkakati huu unarudinyuma alivyouwawa kijana moja wa Kinyakyusa kisha wakasema ni ajali ya gari(stori hii ilikuwa reported kwenye vyombo mbali mbali vya habari). Kijana huyualiuwawa baada ya kutoa siri za Home Shopping Centre na Ridhiwani kutoa watuSouth Africa kwa ajili ya kumuuwa Bwana Masamaki ambaye ni kamishna wa Tax TRA.

Huu mchezo wa kuuwawatu haujaanza leo, hawa mabwana walianzisha utaratibu wa kutoa watu SouthAfrica na Kenya kwa kazi hiyo tu. wamefanya hivyo kwa Ulimboka Steven ambapowatu walitolewa Kenya na kushirikiana na Ramadhani Ighodu, wakafanya hivyo kwaAbsolom Kibanda (kama unakumbuka kati ya maadui 11 aliyowataja Membe, KIbandaalikuwa moja wao kama mwandishi)...

Mwaka 2012 RidhiwaniKikwete alichukuwa watu kutoka Kenya kwa ajili ya kufanya kazi maalumna mpakasasa watu hao bado wapo nchini ambapo wamepangishiwa nyumba mitaa ya Masakieneo maarufu kama Kilimanyege karibu na Jacks Bar.... Mauaji haya yamekiwayakisimamiwa na Membe na kuratibiwa na Ridhiwani pamoja na Gotham...

Nina uhakika kwambahaya yanafanyika bila Rais Jakaya kujua, hata hapa idara yetu hakuna wanaojuahili swala zaidi ya watu wa karibu wa Membe. Ridhiwani amekuwa akifanya hayayote na hao washirika wake hata bila baba yake kujua na hii ni kwa sababu dogokashaingizwa kwenye biashara haramu mbalimbali likiwemo na la kuuza madawa yakulevya. Kwa sasa ni wazi hawa watu wanafanya jitiada zozote zile waingiemadarakani ili kulinda dhambi zao, na wanafanya kila jambo ili washindeuchaguzi wa mwaka huu, kwa hali hiyo tutegemee mauaji mengi na makubwa kutokeakuanzia sasa.. Na kwa sasa bila kuwaficha ila nafanya haya kwa neema za Mungukuna mpango wa kuangusha helcopter ya Chadema... hawa watu wamekuwa wakipangakufanya haya mambo na kujadili hali ya siasa katika hoteli zifuatazo 1). Serena2). Protea na 3). Collesium Oysterbay...

Ila kwa wale mabibiwa umri kama wangu watakumbuka kifo cha kutatanisha cha Padre Serapius Kombaambapo Membe wakati huo alihusishwa. Komba aliuugua ugonjwa wa kufa ubongo polepole. Komba alikuwa Gombare wa seminari kuu Peramiho, mwandishi mahiri na mtualiyejaliwa upendo ila kwa unyama wa Membe na ushirika wake na Padre SebastianNepachichi walidiriki kukatisha uhai wa padre Komba... Hata hivyo kifo chabalozi wa Libya aliyeuwawa yasemekana kuna mkono mkubwa wa MEMBE..... Membe nimtu hatari sana na kama Taifa tusikubali kurudi kwenye zama za mauaji yakikatili....

Asanteni
Mtoto Sheila.....

like

Pasco, ocampo four and jme like this.
Bro
Kwa wale ambao wanamkebehi EL watashangaa kwani baada ya mshindo wa arusha ndipo mtakapoona maajabu jinsi gani huyu bwana anakubalika na all walks of life despite the mudslinging campaign that has been going on and by August the bandwagon will shadow most candidates [ccm] and by october there will be no shadow of doubt about his acceptability by the mass.
 
BY SHEILA MABAGA Sheila Mbaga is offline
Sheila Mbaga

Join Date : 27th February 2015

Default Re: Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. WillibrodSlaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa

[h=1]Ukweli wa Mauaaji haya hapa: Membe, Gotham na Ridhiwani wahusishwa [/h]

Mambo mazito haya, anyway katika siasa lolote linawezekana kabisa!
 
Wakuu salama.....

Kwa hakika hali ilipofikia sasa ni wazi hakuna wa kuzuia nguvu ya Lowassa kwenda ikulu...

Ni zaidi ya wabunge 150 wamejitokeza kwa ajili ya kumshawishi Lowassa ili aweze kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... Tukio hilo lilitokea mijiji Dodoma ambapo wabunge hao walimfata kwa ajili ya kumuomba. Katika hatua nyingine wabunge hao walimuahidi kwamba pale ambapo atakuwa tayari kwa ajili ya kugombea basi watamchukulia fomu.....

Tafsiri ya hii ni muendelezo wa kuonyesha ni jinsi gani kadri siku zinavyooenda nguvu ya Lowassa inazidi kuwa kubwa..... Huwezi amini mpaka Chatanda naye kasimama na kuhesabia, amesikika Professor moja wa chuo kikuu cha Dar es Salaam nilipompigia kuomba maoni yake asubui ya leo.....

Wito: kama bado unatafakari naomba nikuambie huu ndiyo muda wako wa kufanya maamuzi, njoo usimame na kuhesabiwa.....

Asante sana

Agwambo

Kumbe Lowasa hasitahili kwa kuwa amewanyima haki wengi kwa kutumia pesa zake kuanza kampain mapema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom