Nyie Zito aliwaita wapambe mliofitini na MboweWenzio huvuta hata visekunde viwili au vitatu ndo wanachangia mada walizopost kwenye accounts zao zingine.
Sasa wewe umepost , halafu sekunde hiyohiyo unasukuma comment! Mh!
Lakini huu ni muendelezo wa njaa zako kwa Lowasa. Na atakubakeni mno semester hii.
HOJA YA MWISHO KWAKO; Vip issue ile ya #SUKARI ya Pinda? Kwamba Lowasa alikomea kukupa uzi uleule akakosa ushahidi? Watu wa namna yenu siwatofautishi na waliofanya uchochezi wa Interahamwe.
Mungu anawamulika. Mtaaibika tu.Time never lies!
We uko kwanza maana usikimbilie ccm wakati haikuusuNi nani aliyewaloga ccm
kwanza kabisa naomba utambue kwamba mimi ni fast reader.... nauwezo mkubwa sana wa kusoma na kwa haraharaka, kwaiyo hilo lisikupe shida....... andiko la sukari anytime this week nalidondosha....... Leo nani katumia hii IdWenzio huvuta hata visekunde viwili au vitatu ndo wanachangia mada walizopost kwenye accounts zao zingine.
Sasa wewe umepost , halafu sekunde hiyohiyo unasukuma comment! Mh!
Lakini huu ni muendelezo wa njaa zako kwa Lowasa. Na atakubakeni mno semester hii.
HOJA YA MWISHO KWAKO; Vip issue ile ya #SUKARI ya Pinda? Kwamba Lowasa alikomea kukupa uzi uleule akakosa ushahidi? Watu wa namna yenu siwatofautishi na waliofanya uchochezi wa Interahamwe.
Mungu anawamulika. Mtaaibika tu.Time never lies!
Pamoja kaka... nimeku inbox pia mkuu.... tafadhali sana zingatia hayo tuliyojadili..........Tayari
Pamoja kaka... nimeku inbox pia mkuu.... tafadhali sana zingatia hayo tuliyojadili..........
kwanza kabisa naomba utambue kwamba mimi ni fast reader.... nauwezo mkubwa sana wa kusoma na kwa haraharaka, kwaiyo hilo lisikupe shida....... andiko la sukari anytime this week nalidondosha....... Leo nani katumia hii Id
Wabunge 150 ndo wanamuunga mkono kwa njaa zao, sisi wananchi tusiomtaka tunamsubiri mtaani, waaalah hatuna maneno mengi kama chiriku.
Yale mambo ambayo wenye ufahamu hawakuweza kuyaona sasa wanaotharaulika wameweza kuyaona pasipo shaka kabisa. Edward Lowassa ndo atakuwa chanzo cha CCM KUSIMAMA AU KUFA. hakuna watu ambao watakuwa tayari kumwona akiangushwa kwa kupitia siasa hizi za maji taka. utakuja kunambia. subiri tu wakati ufike.
Ccm imekufa ndiyo lakini si kiasi cha kutuletea fisadi msaka urais!
mbona mnaongozwa na wezi?jk na serikali yake yote ni wezi sasa sujui hamuwezi ongozwa na wezi kivipi tenahatuwezi ongozwa na mwizi...
Mkuu swala la uchunguzi ni complex process siyo swala la kulala kuamka then nilete uzi. inahitaji uchunguzi wa kina ili nikija niwe na evidence.... baada ya kuleta ule uzi wa kwanza nikiri walishtuka na kujipanga so evidence zikawa ngumu kupata ila thanks God siku ya ijumaa nilikamilisha na kuzipata, so soon from alhamisi kitu kinadondoshwa.........Hihihihihiiiiiii!!
Yaan Mkuu #OCAMPO ; Sielewi jina lako limekuwaje kubwa humu ndani kwa style hii. Any ways, mtu kupata umaarufu mjini,anaweza hata kuamua kuvua nguo akarandaranda mitaani then jion akang'aa kwenye walls za media.
Yaan wewe ni mweupe mno ktk hoja. Hauna hata chembe ya namna mtu anaweza akavutiwa na hoja zako(achilia mbali kum'impress mtu).
Eti unasoma harakaharaka, nfyuuuuu!! Wewe umetumia ID mbili tofauti kupost & kuchangia kwenye uzi huu. Na unabahati mbaya tumeku'grasp tayari.
Hoja ya SUKARI v/s PINDA, Imekuwa almost miezi miwili hivi nakuuliza.Daily umetoa ahadi tu bila utekelezaji. Pima upepo mkuu; Lowasa is finished(Morally,Politically & Physically).
MWISHO; Nakupongeza kwa jambo moja, "YOU ARE NOT AGGRESSIVE" in arguments.
Rais ajae ni Dr W Slaa, deadly!!! Hizo cinema zenu za Lumumba hazituhusu.
Rais ajae ni Dr W Slaa, deadly!!! Hizo cinema zenu za Lumumba hazituhusu.