Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,416
Wananchi gani hao? Nawashangaa sana watanzania, huku wanalia na ufisadi, huku wanakumbatia fisadiHata kwa wananchi Lowassa ana nguvu
Wananchi gani hao? Nawashangaa sana watanzania, huku wanalia na ufisadi, huku wanakumbatia fisadiHata kwa wananchi Lowassa ana nguvu
kwa mtu anajielewa uwezi kumlinganisha Mwigullu na Lowassa labda uwe kichaaView attachment 225384
Dogo anampumulia mzee kisogonii. .......
Just wait and see hatutaki mtuu akatwe jina twendeni nec mkutano mkuu mtahesabu no
Mxiuuuuu
HilooooooooooooooooooooooNa Mungu ndo maana amempa maradhi ya kuchuruzika mate wakati wote. Alijua kuwa fisadi Lowasa ana nguvu ya kununua haki
Kumbe naongea na mtu ambaye hajasoma magazeti. hilo la Mwigulu linausu utafiti uliyofanywa na TEDRO kwa wagombea vijana accross all parties...
Katika magazeti ya leo story kubwa ni wabunge kumuunga mkono Lowassa eti watu kama Komba, Chatanda, Ntukamazina wote wamefunguka.
Binafsi mradi huu niliutarajia sema ulichelewa, kinachooudhi ni magazeti yetu kutofanya utafiti kidogo kujua huu ni mradi wa watu.
Kwa hivi sasa hakuna weledi, tunatumikia wenye fedha kuanzia viongozi hadi wataalamu wapo mifukoni mwa wenye fedha ambazo hatukuwahi kujua wamezitoa wapi.
Mtatufanya tusome mitandao maana huku watu wanahoji, wanauliza wanatia mashaka.Eti mtu anafaa kuwa rais kwa sababu aliposhuka kwenye gari alishangiliwa?
NCHI HII BADO SANA!
Mpaka gazeti lenu la Jambo Leo lishalegeza msimamo, safari hii mnalo.......... au ndiyo Riz kaanza kuwakimbia....Wananchi gani hao? Nawashangaa sana watanzania, huku wanalia na ufisadi, huku wanakumbatia fisadi
We shangaa siku ukiacha kushanga Lowassa yupo ndani ndo utashtukaWananchi gani hao? Nawashangaa sana watanzania, huku wanalia na ufisadi, huku wanakumbatia fisadi
Ocampo four, mzee wa kuchuruzika mate anakulipa kiasi gani? Kati yako wewe na John Okello, nani zaidi?Kumbe naongea na mtu ambaye hajasoma magazeti. hilo la Mwigulu linausu utafiti uliyofanywa na TEDRO kwa wagombea vijana accross all parties...
kwa vijana nafkiri kidogo wako sahihi. manake Mwigulu ana uwezo kuliko vijana wengine like January, Nchimbi, Kigwangala nk....... na infact hata baadhi ya wazee kama Membe uwezo wake ni mdogo sana ukiulinganisha na wa Mwigullu......Unauonaje utafiti huo ukampo
kwa vijana nafkiri kidogo wako sahihi. manake Mwigulu ana uwezo kuliko vijana wengine like January, Nchimbi, Kigwangala nk....... na infact hata baadhi ya wazee kama Membe uwezo wake ni mdogo sana ukiulinganisha na wa Mwigullu......
Hapa lazima Lizabon atoe chozi Mtama hana uwezo kumbekwa vijana nafkiri kidogo wako sahihi. manake Mwigulu ana uwezo kuliko vijana wengine like January, Nchimbi, Kigwangala nk....... na infact hata baadhi ya wazee kama Membe uwezo wake ni mdogo sana ukiulinganisha na wa Mwigullu......
kwa vijana nafkiri kidogo wako sahihi. manake Mwigulu ana uwezo kuliko vijana wengine like January, Nchimbi, Kigwangala nk....... na infact hata baadhi ya wazee kama Membe uwezo wake ni mdogo sana ukiulinganisha na wa Mwigullu......
sijawahi hata kuonana uso kwa uso na Lowassa.... infact yeye yupo Dar es Salaam ila mimi niko Kenya kikaziOcampo four, mzee wa kuchuruzika mate anakulipa kiasi gani? Kati yako wewe na John Okello, nani zaidi?
Pouwa comradeNina kupm chek inbox yako
kiasi unacholipwa wewe kumtukana Lowassa ndo wengine ulipwa hivyohivyoOcampo four, mzee wa kuchuruzika mate anakulipa kiasi gani? Kati yako wewe na John Okello, nani zaidi?
Niliahi kusema hakuna wa kuzuia nguvu ya Lowassa kwa sasa. Ni Mungu pekee
Pouwa comrade
Wanampenda lowassamitanzania bwana..