Maisha yamebadilika....kumbuka kulikuwa na magari yaendeshwayo kwa farasi....umeyaona Siku hizi? So hatuwezi bakia kwenye maendeleo ya teknolojia ya zamani wakati kuna mabadiliko....hata hilo basi la zamani ilionekana ni ufahali na ufujaji wa pesa za walipakodi
Kuna waziri majuzi kakataa kwenda economy class baada ya kukosa first class!
jibu A.Chagua jibu sahihi:
A) Muhongo
B) mulugo
C) wassira
hao ndiyo walikuwa wana tanu wa ukweli na ahadi walizishika sana.
Ujinga mtupu.Mbona unajaribu kufananisha vitu viwili ambavyo hafifanani? Kwani zamani kulikuwa na upungufu wa magari ya binafsi (private cars) kama jinsi ambavyo wabunge wa siku hizi wanamiliki magari yao binafsi (na mengine wanakopeshwa)? Unadhani ni kwanini wabunge wa zamani walikuwa hawakopeshwi magari? Je, unafikiri utawala wa mwalimu Nyerere unafanana na huu wa mafisadi wa zama hizi? Ukijibu hayo maswali utapata majibu yatakayokuwezesha kujua tofauti ya utawala wa Nyerere na huu wa sasa. Hebu tazama hata Nyerere alikuwa anapanda mumo humo mwenye basi, sembuse wabunge. Haya ndiyo yalikuwa matumizi sahihi ya pesa za umma...sio siku hizi kila mtu anajichjotea tu!!
sasa ulimwengu wa leo huu mtu muheshimiwa umpandishe bus si ni kumnyanyapaa na magari ni yatanunuliwa na nani?Enzi za Mwalimu.
Wabunge wa BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakielekea kwenye VIKAO vya Bunge huko DODOMA mwaka 1984 kwa kutumia usafiri wa BASI . Pata picha wabunge wa sasa hivi ukiwaambia wapande basi kwenda Dodoma!!!!
View attachment 125295
Kuna waziri majuzi kakataa kwenda economy class baada ya kukosa first class!