Wabongo watengeneza iOS na Android Apps

Wabongo watengeneza iOS na Android Apps

NullPointer

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
3,461
Reaction score
2,284
Kwa watanzania waliotengeneza apps na kuzitupa kwenye iOS na Android market au walioshindwa kuziweka huko ila wana installation files watutupie basi tuweze kuona wabongo wako wapi kwenye software industry na tuweze kuwachangia kama zinauzwa tujaribu kununua au kama ni za free basi nyingine hua zina matangazo zipate views angalau tuwanyanyue kidogo na kuwapa challenge mbalimbali ili wajiendeleze zaidi, reviews za watu hua zina matter sana katika industry hii, ku-fix kasoro zilizopo uweze kua better and better labda utafikia lengo ulilokusudia siku moja.
 
sjui kwa ios ila android mbona playstore automatic wanakuletea mi nkiingia hizi chache naziona

1.tanzania music ya futuristic
2.tanzania tv ya erick kiiza
3. tanzania gospel ya suzan
4. isa michuzi blog ya erana network
5. habari za udaku ya erana network
6. habari kwanza ya erana network
7.bongo flavour music ya erana network
8.bongo swagz ya erana tena
9. jamiiforums nisije nikaisahau
10. clouds tv ya ernest
11.tanzania newspaper ya edward sentongo

chache zimevuka range ya 10, 000 nyingi zimedownloadiwa chini ya mara 1, 000
 
Kwa watanzania waliotengeneza apps na kuzitupa kwenye iOS na Android market au walioshindwa kuziweka huko ila wana installation files watutupie basi tuweze kuona wabongo wako wapi kwenye software industry na tuweze kuwachangia kama zinauzwa tujaribu kununua au kama ni za free basi nyingine hua zina matangazo zipate views angalau tuwanyanyue kidogo na kuwapa challenge mbalimbali ili wajiendeleze zaidi, reviews za watu hua zina matter sana katika industry hii, ku-fix kasoro zilizopo uweze kua better and better labda utafikia lengo ulilokusudia siku moja.

Anza na Jamiiforums, hiyo nadhani ni kazi ya mkuu Invisible (au/na wadau wengine wa JF), iko stable sana kwenye iOS, japo kwenye android wakati mwingine haiko poa sana.
 
Last edited by a moderator:
JamiiForums ya iOS wamejitahidi sema haina feeling nzuri kama ambavyo mtu atafungua jamii forums kupitia Safari, interface ya JF ya simu mimi siipendi kwa kweli, hua napenda ya PC sijui kwa wengine ila mimi graphics zake hasa ile green color na mpangilio wa post labda developer angeipa flat User interface kama iOS 7 apps nyingi zinaleta uclean flani, afu notification kwa nini sizipati kwenye notification panel au machine yangu?.. Ni maoni yangu hayo kila mtu nadhani ana preference zake.. japo naona wamejitahidi kutokuweka ads kabisa.
 
Jamiiforums App haijatengenezwa na wabongo, ile ni service ya Tapatalk.com kama una forum unawalipa wanakupa app yao ambayo inabadilishwa logos/rangi kufanana na forum yako.
 
forum nyingi za vb zinatumia customized tapatalk app hata nimeona wordpress pia kuna app ya customize kwa ajili ya site za wordpress
 
Ndio hao tapatalk, wanasupport software za forum nyingi tu, na wordpress pia.
 
Kwa watanzania waliotengeneza apps na kuzitupa kwenye iOS na Android market au walioshindwa kuziweka huko ila wana installation files watutupie basi tuweze kuona wabongo wako wapi kwenye software industry na tuweze kuwachangia kama zinauzwa tujaribu kununua au kama ni za free basi nyingine hua zina matangazo zipate views angalau tuwanyanyue kidogo na kuwapa challenge mbalimbali ili wajiendeleze zaidi, reviews za watu hua zina matter sana katika industry hii, ku-fix kasoro zilizopo uweze kua better and better labda utafikia lengo ulilokusudia siku moja.

Point nzuri sana hii!!
 
Jamiiforums App haijatengenezwa na wabongo, ile ni service ya Tapatalk.com kama una forum unawalipa wanakupa app yao ambayo inabadilishwa logos/rangi kufanana na forum yako.
JamiiForums ilivyo kubwa bongo am pretty sure wanaweza tengeneza app nzuri tu, wana traffic ya kutosha so hata income najua site ina generate vizuri tu, Kutegemea hiyo tapatalk ni wrong move kabisa huku wana control na site nzima. Ile app inaboa sana, nimeifuta tu after a single day
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom